Wafundisheni watoto wenu kupika!

Wafundisheni watoto wenu kupika!

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
lols,

vyuma vinazidi kubana,

I just think watu kabla Magufuli hajatupeleka kwenye nchi ya ahadi tutakua tumenyooka kweli kweli..lol

sasa basi katika msoto watu watanunua vitu vile vitu essential tu,namaanisha vinavyompeleka siku nyingine…

this means FOOD!

biashara itakayokuwa 'reliable' ni biashara ya chakula tu,

nimeandika hii mada baana ya kumuona mama mmoja mamantilie 'fundi' watu wamejaa na anazi 'meki' hasaa…

haya pamoja na kuwawezesha watoto wenu wasome,msisahau kuwafundisha kupika ila wakikosa ajira wanaweza kujiajiri..

weekend njema!

Becky
 
Wanafanya biashara isiyokua miaka nenda rudi hatima yake ni wanapokamilisha majukumu ya kulea watoto huacha au kuchokwa na wateja
 
tehe tehe,umenichekesha ,sometimes hata mie kiukweli huwa nadhani kupika ni kipaji,mbona wengine hata umpe maelekezo anza hivi fanya vile bado akipika anapika madudu,😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Kupika nacho kipaji, mchele huo huo maji mafuta na chumvi lakini kinachotoka mule hakijulikani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ilikuwa zamn aiseee so watt wa asa hivi shule bording rikizo kwa mjomba kukaa home sijui kaja kwenye hars ya dada au kuja kuchukua hela ya shule
 
Back
Top Bottom