HII TOO MUCH SASA NIMFANYIE NINI

sawe4u

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
973
571
Habari wadu , sasa ni mwaka 2 tangu kushindwa na kumuacha mzazi mwenzangu (mama wa mtoto wangu ) kutokana mienendo yake ambayo kijamii na kidini na kinadamu hakuna binadamu angeweza vumilia (japo hatukufunga ndoA)

Tangu mwez huu umeanza huwa anapenda kuja kwangu na kuniletea mtoto wangu ambako si kawaida yake pia amekuwa akilazimisha kwa nguvu turudiane lakn sina hisia nae ata .
Yeye amejikuta akitumia nguvu zote kuniachanisha mwanamke wa sasa
=Anamtumia matusio yasiokawaida akija kwangu akimkuta anamuwashia moto Japo nilishamtel kuw mimi na yeye sasa ni wazazi

Niambiane nifanye nn ili nimkomeshi tabia yake ?
Pia kanalinga kwakuw chenyew nika ka
Note:- kama kipgo nilishampa cha kutoah ila haelew ananikazinia
 
Jeshi na mapenzi havina uhusiano...


Maishani ukiamua kwenda mbele hakuna wa kukuzuia.

Badilika wew kwanza,mengine yatafata..kuna kila dalili hata wew unamwendekeza...ikiwezekana hama hata unapoishi...


Gharama kubwa ya furaha ya mtu ni mtu mwenyewe...
 
Nenda nae ustawi wa jamii muangalie namna ya kulea mtoto bila yeye kuvuruga uhusiano wako kwa sasa.

Kuwa makini nae la sivyo utampoteza huyu wa sasa. Pia mtamharibu mtoto kisaikolojia kisha utakosa vyote.
 
Wewe kweli una mawenge ... mapenzi ni hiyari ya mtu .. iweje unamruhusu akuvurugie mahusiano yako mapya .. yaonyesha wazi na wewe kwake beki hazikabi
 
hahahHa we mwenyewe wamgwaya hahahah maana hapo mwisho umeonesha unamgwaya

we mchane asilete mtoto wewe ndo utakuwa unamwendea ili kuziba mwanya wa kuja kwako. akija bila taarifa aishie nje
 
Wewe kweli una mawenge ... mapenzi ni hiyari ya mtu .. iweje unamruhusu akuvurugie mahusiano yako mapya .. yaonyesha wazi na wewe kwake beki hazikabi
Sio kwamba blek hazkab brow
Nilishamuashia kpgo lakn bado anakomaa na mimi. ....
 
Sio kwamba blek hazkab brow
Nilishamuashia kpgo lakn bado anakomaa na mimi. ....
hana wazazi " ... nenda kwao kashtaki .. pia umueleze huyo mpenzi wako mpya juu ya msimamo wako ulionao ikibidi ufanye hivyo mbele yake akiwa ana sikia ... kinyume na hapo itakuwa ngumu kueleweka kwa huyo mpenzi wako wa sasa
 
Back
Top Bottom