KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,332
Katika viumbe ambao wapo hai
kiumbe mwenye uwezo wa kwenda kasi zaidi ni Ndege ambaye anajulikana kwa jina la Falcon(Kumbuka huyu ni tofauti na tai kuna aina nyingi kidogo za mwewe)
Ana uwezo wakufikia zaidi ya KM 300PH
Vyakula vyake zaidi anavyokula ni nyama, kwa ufupi ni hivyo unaweza kuongeza nawe sifa zake kama unamjua