ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,866
- 90,380
Ndo hivyo tena tena,sio kila aliyewekwa na Mungu kwenye mamlaka ni kwa nia njema,wakati mwingine Mungu anakuwa anatoa adhabu
Kuzorota kwa hali za kiuchumi,usalama na upendo na mshikamano wa taifa sio dalili njema.Tupige goti tusali/tuswali kuomba toba tulipojikwaa kama taifa.Chuki,matusi na kiburi kitazidi kututokea puani.Salamu sana,nawasilisha