jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 625
1/Kama anavyojisemea kwenye maandiko yake MUNGU ni mwema, mwenye huruma, upendo na anaesamehe wale wanaotubu madhambi yao
2/MUNGU ni katili kwa waovu hili halina ubishi hata maandiko nitawaletea au wadau wataleta pia MUNGU ni mwenye wivu na mlipiza kisasi na ni muuaji.
Kwa sifa hizo hapo juu tunaona MUNGU ana pande mbili. Ya kwanza ni njema na ya pili no ovu. Kwa kawaida binadamu mwenye sifa hizo mbili ataitwa mnafiki au mguu mmoja nje mwingine ndani.
Sasa wakuu huyu MUNGU mnamchukuliaje?
-Hutenda wema kadiri watu wake wanavyotenda wema.
-Ni mwenye wivu kwamaana ya kwamba anataka atukuzwe kwa nguvu sasa kwa sababu huwezi walazimisha watu wafanye kitu wasichokitaka otherwise subiri watu wakuvulie kofia sio kulazimisha na kutisha watu.
Pia ni mshari na mwenye kupenda ushindani mradi ajionyeshe yupo kama alivyofanya kwenye safari ya watumwa wa Israeli kutoka utumwani Misri. Mimi sikuona sababu ya kuwasubirisha Zaidi ya maiaka 40 jangwani wakichomwa jua wakati tunajua kwa miaja hiyo usafiri wa punda ni siku tatu tuu na ukitumia mguu basi wiki au wiki mbili kwa akina mama, wazee na watoto wanafika.. huo ni unyama sio wema na ni sifa za kijinga.
-Wema wake bado unatia shaka, ikiwa yeye ni muweza wa yote basi ni lazima awaweke mahali salama wema halafu wale vigagula awakusanye pamoja ili awaadhibu vizuri pasipo kudhuru wema. Nikipiga hesabu bado mahesabu yangu hayabalance kuna tatizo somewhere.