Tunatarajia pakiwepo manabii wa mungu waseme mazuri au mabaya yatakayotokea kwa usahihi ndani ya nchi kama walivyofanya manabii wa zamani, mfano ajali ya MV nyerere, matetemeko, na visa vingine...
Habarini wanajukwaa.
sijui ni uelewa au ulimbukeni unaozidi kuenea kwa kasi kubwa sana katika jamii zetu. tumekua watu wa hovyo kiasi kwamba ohovyo wetu unatufanya kuiga kila tukionacho kwenye...
hello JF,
Sababu Ambulance and health services ziko mbali kidogo kipindi ajali inatokea,
nafikiri tu employ measures ambazo zitatusaidia kutopata ajali kabisa,
Tumeona jitihada za mkuu Lugola...
1. Cape Verde ni nchi ya visiwa iliyopo ktk bahari ya Atlantic, yenye ufanano sawa na Zanzibar.
2. Cape Verde ni muunganiko wa visiwa 10 vilivyotokana na mlipuko wa Volcano (Volcanic Islands)...
NYERERE ALIJIUZULU MARA 3 KWA MASLAHI YA TANU NA TAIFA ZIMA.
Katika kuadhimisha miaka 19 ya kifo cha Baba wa Taifa nimeona niwashirikishe huu upekee wa NYERERE;
Baada Ya Kuanzishwa Kwa TANU...
Wakuu naomba ushauri jinsi ya kukabiliana na wapangaji wabishi na wakorofi wasiyolipa kodi nimeshapeleka kwa mwenyekiti mara kibao naona kama akuna kitu zaidi ya usumbufu nimeshawapa notice lakini...
Mzuqa
Habari iliyohit headlines duniani wiki hii inayoisha ni mwandishi mahiri wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi kupotea na kuthibitika kuuawa leo. Uthibitisho huo kutoka Kwenye vyombo vya usalama...
Wadau hebu someni hii habari halafu tujadili kama hii ni nini zaidi ya siasa za mfamaji!
Tatizo la ajira ni kigezo cha uzoefu au ukuaji wa polepole wa sekta ya umma na sekta binafsi?
Mgombea wa...
Nilisafiri na Ethiopia, nilichojua ni kwamba shirika ni 100% linamilikiwa na serikali. Na hizi ndio rekodi zao. Je ATCL
wajifunze nini hapo? Na kuhusu cargo angalia attachment ya pili. Bila...
Hellow wakuu,
kama kuna member wengine wanao tumia mkono wa kushoto kama mimi hapa, Jf tukutane hapa,
lengo ni kuwaonyesha hawa wanautumia kulia kama sisi mashoto ni watu wenye upeo mkubwa...
Baada ya huyu bilionea MO kutekwa ni dhahiri kuwa kila mmoja wetu ameguswa kwa namna yake na hili tukio.
Kama ambavyo imetokea kwa MO, hili jambo pia linaweza kumtokea yeyote!
Wadau mbalimbali...
Nimetapeliwa laki na themanini muuzaji wangu akapotea hewani moja kwa moja. Sijui nifanyeje hapa nilipo najipooza tu.
Dah! nimeingia cha kike bila kujijua..
========
Malalamiko mengine zaidi...
Habari ambazo zimenifikia mimi Hivi Punde kutoka kwa Mnyetishaji wangu ndani ya CHADEMA ni kwamba, Mh John Mnyika , Mbunge wa Kibamba ( CHADEMA ) ataongea na waandishi wa habari wakati wowote...
Habari ya jioni wana jf?
Mm muda mfupi uliopita nimefanya muamala kutoka NMB kwenda m pesa kwenye simu yangu cha ajabu ni kwamba pesa imeshatoka NMB ila m pesa haijafika. Nimewapigia vodacom...
HABARI ZENU WAUNGWANA POLENI KWA MAJUKUMU.
Nimeona mahali na kufuatilia matangazo ya mtumishi wa MUNGU HON:GEORDAVIE kuwa ataendesha mahubiri na maombezi ktk Ukumbi wa ROCK CITY MALL MWANZA TRH...
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ametoa muda wa miezi miwili na majuma mawili kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iwe imekamilisha mchakato wa Tanzania kuwa na vazi la Taifa.
Amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.