Mzungu Pori
Senior Member
- Jan 22, 2014
- 163
- 309
Habari ya jioni wana jf?
Mm muda mfupi uliopita nimefanya muamala kutoka NMB kwenda m pesa kwenye simu yangu cha ajabu ni kwamba pesa imeshatoka NMB ila m pesa haijafika. Nimewapigia vodacom wanasema pesa haijafika m pesa so ikabidi niweke salio kwenye simu yangu nimewapigia NMB mobile hawapokei na muda wa maongezi wamekomba wote.
So hela haijulokani imekwama wapi? Hawapokei simu na muda wa maongezi wamekomba. Sasa kama mtu una mgonjwa mahututi hapo inakuwa imekaa vipi wadau?