Nani wa kukemea haya yanayotokea.

Nani wa kukemea haya yanayotokea.

Arabi Nanjewa

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
325
Reaction score
411
Habarini wanajukwaa.
sijui ni uelewa au ulimbukeni unaozidi kuenea kwa kasi kubwa sana katika jamii zetu. tumekua watu wa hovyo kiasi kwamba ohovyo wetu unatufanya kuiga kila tukionacho kwenye tv. kizazi kinasahau mila na desturi za kiafrika Kwa kukengeuka kuiga umajimui wa watu weupe. Wazungu wametufanya tusiweze kabisa kutafakuli lipi jema na baya. Vijana wanavaa hereni na suruali za kubana alafu hawajiskii aibu kabisa, mitandao ya kijamii inaharibu kizazi kila siku, huko instagram kumekuwa balaa. Inafikia kipind huwez peruz mbele za watu yaliyomo huko. Wanawake kwa wanaume picha za utupu kila uchao wanapost. Ufuska na ujinga umeshamiri. Kizazi kinaharibika, nani asimame akemee haya. Wasichana ndo kabisaa. Yaan imefikia hatua badala ya mambo ya msingi kuwa na mijadala ila vijana wako bussy kwenye mitandao kushabikia ujinga wa akina sister fei na wenzake. Tusipoangalia hii mitandao itakuja kuharibu jamii zetu
 
Nadhani instagram kuna sehem ya ku unfollow mbona unateseka mkuu ww unfollow.
 
Unakutana na kijana wa kike au kiume njiani unajiuliza anawazazi? Au unakutana na mama ameongozana na binti yake namna walivyovaa utadhani wanaenda kwenye danguro kujiuza
 
Nafikiri ipo haja ya dressing code kwenye maeneo ya wazi hasa ya watu wengi
 
Nilianza kunfollow Mastaa wote ili nisikumbane na wahuni hawa wanaowasapoti.
 
Back
Top Bottom