Ethiopia wamewezaje???

Ethiopia wamewezaje???

kakolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
406
Reaction score
354
Nilisafiri na Ethiopia, nilichojua ni kwamba shirika ni 100% linamilikiwa na serikali. Na hizi ndio rekodi zao. Je ATCL
wajifunze nini hapo? Na kuhusu cargo angalia attachment ya pili. Bila kusahau wana academy ningeattach lkn nisiwachoshe.
20180807_024447.jpg
20180807_025109.jpg


20180807_025109.jpg
 
Back
Top Bottom