Askofu Gwajima Afanya maombi mazito juu ya Moo

Askofu Gwajima Afanya maombi mazito juu ya Moo

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Leo ibada ilikuwa kwajili ya kumuombea ndugu yetu Moo hadi arudi na amesema walio mchukua watamleta wawe wazungu ama waafrika
 
Gwajima kasajiliwa Mapema Sana kabla ya Deadline ya December japo Kwa style ya Kimya kimya!
 
hakuna maombi makali kama Yale ya gwajima aliyotoa siku ya kufunga Kampeni za ukawa jangwani.....aiseeee! nilijua ukawa wanachukua nchi
 
hakuna maombi makali kama Yale ya gwajima aliyotoa siku ya kufunga Kampeni za ukawa jangwani.....aiseeee! nilijua ukawa wanachukua nchi
Walichukua sema wakapokonywa kinyemela
 
Back
Top Bottom