boris maganga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 384
- 383
Tunatarajia pakiwepo manabii wa mungu waseme mazuri au mabaya yatakayotokea kwa usahihi ndani ya nchi kama walivyofanya manabii wa zamani, mfano ajali ya MV nyerere, matetemeko, na visa vingine visivyo na majibu kama utekaji mtupe majibu lakini mnakaa kimya, na kujipa vyeo na sifa tu.