Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

swahiba Senior

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
2,478
3,624
HABARI ZENU WAUNGWANA POLENI KWA MAJUKUMU.

Nimeona mahali na kufuatilia matangazo ya mtumishi wa MUNGU HON:GEORDAVIE kuwa ataendesha mahubiri na maombezi ktk Ukumbi wa ROCK CITY MALL MWANZA TRH 03/06/2017 KIINGILIO KWA AJILI YA KUPATA HUDUMA YA MAOMBEZI NI TSH 100,000/= (LAKI MOJA]

FB_IMG_1494511392875.jpg

Hii imenifanya nifikirie Mara mbili mbili hivi inakuaje Mungu amewaagiza watumishi wamepewa Injili bure na waisambaze bure inakuaje MTU kwenda kusikikiza mahubiri na kuombewa Atoe kiasi hicho kikubwa cha pesa?? Huyu kweli ni mtumishi wa Mungu au mamluki???

Karibuni kwa michango yenu wakuu.
 
hao ni watumishi Washetani wachungaji na manabii wa mishahara
 
Back
Top Bottom