Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari Zenu ? Poleni na kazi ila Hongereni na Komaeni Maana ndo Wajibu Wenu Samahani naomba msaada wa Mawasiliano na Mahali walipo Agents wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya DHL, Kwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Inaandikwa katika JF Ajali: Mabasi ya Kampuni ya Newforce Enterprises yagongana maeneo ya Ruaha Mbuyuni - JamiiForums Mabasi mengi sana yanapakia abiria zaidi ya viwango vilivyoidhishwa na hakuna...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Yamkini ni tafakauri isiyo na maana ama ni upungufu wa Elimu na maarifa.. Lakini naomba kujuzwa kama mimea ni viumbe hai kwa maana inakula na kupumua. Ikivuta hewa ya chafu kwetu na kuachia hewa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Musoma, Mara. Jumamosi 13, Oktoba 2018. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Ndg. John Lipesi Kayombo amewataka Diwani wa Kata ya Bugoji, Mwenyekiti wa Kijiji cha Bugoji, Wenyeviti wa...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Muda unazidi kuchanja mbuga bila ya Mo kuonekana.Hakuna anayependa habari ya kukata tamaa kwamba hatapatikana kupenya masikioni kwake. Lakini,Who knows? Inawezekana Watekaji walijipanga haswa na...
6 Reactions
67 Replies
12K Views
Viwanda vinne vikubwa vya kuzalisha mafuta ya kula vinadaiwa kusitisha uzalishaji kwa takribani mwezi mmoja sasa baada ya kuzuiwa kwa meli mbili zenye mafuta ghafi katika bandari ya dar...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Wadau, habari za jumamosi Nitaeza tukio tukio la ndugu Zakaria huyu ni tajiri wa musoma alafu wewe utaweza kwa kitumia maarifa yako waweza kujipa jibu. Pili, naomba jamiiforum wasifute uzi...
9 Reactions
32 Replies
7K Views
Jumapili
0 Reactions
3 Replies
819 Views
Naomba nielekezwe hapa kidogo mtu unaanzaje kuvuta bangi ? Upi umuhimu wa kileo cha bangi? Na yapi madhara ya uvutaji wa bangi? ili mtu aache kuvuta bangi anatakiwa afate njia zipi? Ni maswali...
4 Reactions
100 Replies
12K Views
BREAKING NEWS: ASKOFU KAKOBE AWAONYA HAWA MITUME NA MANABII KUACHA KUJENGA KANISA KWA MSINGI WA MAOMBEZI Na mwandishi :Shujaa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Bado sijaelewa umuhimu wa kuishi hapa duniani. Wapo wanaofurahi, wapo wanaoteseka na wengine wapo wapo tu.
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Watanzania tujihadhari, Usidhani uko salama japo nchi iko salama. Usalama wako uko mikononi mwako, Wewe ndio raia na polisi namba moja. Yajayo yanaogopesha. Chukua hatua. Tuchukue tahadhari.
1 Reactions
4 Replies
996 Views
Mahala alipo tekewa Mo ni sehem ya kifahari yenye ulinzi mkubwa ,zikiwemo kamera zinazo saidia ulinzi.... Kwanini baada ya kutekwa mo camela zimeanza kuonyesha ukungu... Sababu za kuonyesha...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Maisha bhana. Kuwa maskini shida . Kuwa tajiri ni taabu zaidi, unawindwa kila kona ; unakolala, unakokula, unakoshinda, unakotembea, unakosafiri nk ! Maskini na tajiri wote huishi na hofu na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina Imani atapatikana, Mfanyabiashara kijana, Machoni hajaonekana, Tunahuzunika sana. Tunamuomba JALALI, Sana kwake tunasali, Atuoneshe hata mahali, Tuna maumivu makali. Polisi wetu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna Mtaa mmoja ulikuwa ukipita muda wowote ule utakaribishwa na ' Mijibwa ' hadi utakoma ila tangia jana Usiku hadi muda huu najiuliza hao Mbwa wameenda ' Likizo ' au Wazungu wetu wawili wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi nchini limeendelea kuimarisha ulinzi huku likifanya uchunguzi katika Pwani ya Bahari ya Hindi hususani katika hoteli zilizo ukanda huo ikiwamo Yacht Club. Polisi hao wamekuwa...
0 Reactions
78 Replies
15K Views
Ni kweli zipo hofu bandia zilizopandikizwa na wanasiasa zinazotufanya tufanye tusivotaka kuvifanya na kuogopa kufanya tunavyopaswa kuvifanya Haya maswali yamekuja kichwani mwangu baada ya...
0 Reactions
5 Replies
859 Views
Nawaasa tu! Umakini mkubwa unatakiwa katika kusema, kuchangia, kuzusha, kuhisi michakato ama watu fulani fulani kuhusu kutekwa kwa Mo Dewji. Hizi fb, WhatsApp, Tweeter, Insta , Jamii Forums ...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Nimekuwa mpenzi wa kusikiliza vipindi vya clouds FM na kuangalia clouds TV toka REDIO FREE AFRICA ilipoanza kupoteza ubora wake, lkn tatizo ya redio hii ya clouds matangazo nimengi Sana haipiti...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Back
Top Bottom