Ajali za barabarani...

Ajali za barabarani...

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
hello JF,

Sababu Ambulance and health services ziko mbali kidogo kipindi ajali inatokea,

nafikiri tu employ measures ambazo zitatusaidia kutopata ajali kabisa,

Tumeona jitihada za mkuu Lugola za kupunguza ajali,

Tuendelee kubrainstorm/ tuisaidie serikali kutafuta njia za kuzuia ajali,

moja ya visababishi vya ajali sio Tanzania tu bali ulimwenguni kote, ni matumizi ya simu ya mkononi wakati unaendesha gari…

sasa fanya kama unamuandikia kumshauri Lugola,unadhani tufanye nini kupunguza ajali zitokanazo na uendeshaji wa barabara huku unatumia simu…??? (Msiende Google 😀😀😀😀😀😀😀)
 
Suala la ajali hakuna jipya utakaloshauri hafu wao wasiwe nalo/hawajawahi kujadiliana katika kamati za usalama barabarani. Cha msingi ni kuwa makini kwa watumiaji wa barabara, Magari mengi ni mabovu na hayafai kuendeshwa, barabara zetu ni mbovu na finyu. Traffic polisi wamejaa mabarabarani inasababisha madereva kuwa na misongo ya mawazo. Serikali isiwafanye polisi kuwa wakusanya kodi kwa kuwagawia maoteo kila siku, ukikamatwa na askari lazima hakuelimishi zaidi anakutoza faini tu ukimhoji anakuwa mkali na vitisho kibao.
 
Mkuu mimi sio dereva,je huko hamna system ya kupima magari kwa mwaka kama yako safe kutumika barabarani? barabara zetu nakubali ni mbovu na finyu,ila katika serikali hii kuna jitihada na nia za kurekebisha barabara. Napingana na wewe kama Traffic police wamejaa barabarani na ni kero, at least wakiwepo, madereva wanakua na nidhamu kidogo,wasipokuwepo ajali zitakua nyingi,ila nahisi Police wamei abuse this privilege,labda Lugola aweke Traffic lights ,na speed cameras hakuna haja ya traffic police. Nahisi ni wakati wa kulichunguza/Kulifanyia research na kama inafaa then wali implement...(Traffic Lights and speed camera).
 
Ukiwa unaendesha mijini utawaona trafic kama siyo kero, jaribu kuendesha gari kwa umbali wa kama KM 300 hivi hafu ulete mrejesho wa traffic barabarani, nachokikataa ni serikali kuwapangia maoteo ya makusanyo badala ya wao kukaa barabarani na kutoa elimu kwa madereva. Nikiri tu kuna traffic 1 mwaka 2017 mwezi Feb alikuwa akikagua magari pale Iringa aliniuliza nikasema naenda Dar akaniambia kuwa makini unapoenda maeneo ya Kitonga na Iyovi vilevile muda wa mabasi ya kutoka Dar unakaribia kuwa nao makini sana,
Mkuu mimi sio dereva,je huko hamna system ya kupima magari kwa mwaka kama yako safe kutumika barabarani? barabara zetu nakubali ni mbovu na finyu,ila katika serikali hii kuna jitihada na nia za kurekebisha barabara. Napingana na wewe kama Traffic police wamejaa barabarani na ni kero, at least wakiwepo, madereva wanakua na nidhamu kidogo,wasipokuwepo ajali zitakua nyingi,ila nahisi Police wamei abuse this privilege,labda Lugola aweke Traffic lights ,na speed cameras hakuna haja ya traffic police. Nahisi ni wakati wa kulichunguza/Kulifanyia research na kama inafaa then wali implement...(Traffic Lights and speed camera).
 
hello JF,

Sababu Ambulance and health services ziko mbali kidogo kipindi ajali inatokea,

nafikiri tu employ measures ambazo zitatusaidia kutopata ajali kabisa,

Tumeona jitihada za mkuu Lugola za kupunguza ajali,

Tuendelee kubrainstorm/ tuisaidie serikali kutafuta njia za kuzuia ajali,

moja ya visababishi vya ajali sio Tanzania tu bali ulimwenguni kote, ni matumizi ya simu ya mkononi wakati unaendesha gari…

sasa fanya kama unamuandikia kumshauri Lugola,unadhani tufanye nini kupunguza ajali zitokanazo na uendeshaji wa barabara huku unatumia simu…??? (Msiende Google 😀😀😀😀😀😀😀)

Vyuo vikuu vyetu vitengeneze mfumo wenye sensors zitakazofungwa kwenye magari yote kwenye eneo la dereva, vifaa hivyo viwe na uwezo wa:
Kumuonya dereva kuwa aache kuongea na simu
Kukata mawasiliano ya simu
Kutuma taarifa kwa wahusika
 
I like it when people think critically, iko vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom