Tangu awamu ya tano ilipoa anza kumekuwepo na matendo ya unyanyasaji kwa kwa watumishi hasa wa umma pamoja na secta binafsi, viongozi wa serikali wengi wamekuwa wakitumia madaraka yao vibaya...
Imeelezwa kuwa Wilaya ya Simanjiro kwa mara ya kwanza imeweza kushirikisha kata mbalimbali katika mashindano ya mpira wa miguu.
Lengo ni kujenga mahusiano mema kati ya pande hizo lakini pia...
Tuache utani hivi Sakata la mwendokasi habari ndo imeishia hapo wajamenii...[emoji24][emoji24]Waliohujumu mradi kwa tiketi feki ndo wameokoka sasa habari ni MO au..??shikamoo Tanzania yangu...
Juzi kuliletwa taarifa mzito za msiba na Huku kuliletwa uzi wa kufariki tuu
Tena ukawa unafutwa futwa na hata sasa huo uzi umefutwa
sasa hakuna mwendelezo wa
Anazikwa lini
Wapi
Rambirambi...
Shabani Kisu alikuwa TBC1. Baadae Mh. Rais Mtaafu Jakaya Mrisho Kikwete akamteua kuwa DC huko Kondoa. Alipotumbuliwa na JPM, akarudi tena kutangaza TBC1.
Swali :-
Katika muda wote aliokuwa Mkuu...
Nuclear bomb iliyosababisha mauaji ya kutisha pale Hiroshima na nagasaki yote ni kazi ya binadamu
Ukija kwenye mashine gun ya AK 47 ndio silaha yenye Record ya kuua watu wengi zaidi hapa duniani...
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wilayani hapa, kimeishauri Serikali kutunga sheria ndogo ndogo zitakazowabana wazazi wanaowapeleka...
Kiuhalisia vyombo vya dola vilipaswa japo kutoa helicopter moja ambayo Inge survey kwenye anga huku wengine wakiwa barabarani wakiwasiliana na kutoa ripoti kutoka juu wakionacho,labda ingesaidia...
Ile ya ".......fyekelea mbali" na "......weka ndani" ni matamshi yaliyotoka kikazi zaidi japokuwa tigo wameyachukua na kuyatumia kibiashara. Mwanri anapaswa kuyasajili mstamshi haya na kuyamiliki...
Leo hii ina maana tatu kati ya Waislamu hasa
kutetea imani ya Kiislamu pamoja na kulinda umma ya Waislamu, pia kutetea Waislamu wanaoshambuliwa.
kushindana na udhaifu wa nafsi na kujitahidi kuwa...
Msiba upo Tabata Kimanga unashukia kituo cha chama ,humu jamvini yameandikwa mengi ya upotoshaji ila mimi ni jirani yangu toka mwaka 1988 tukiwa vijana kabisa ,namfahamu vizuri sana.
Mazishi...
Assalaam Alaykum
wandg,nataraji mpo salama
Naomba mpokee neno dogo tu kutoka kwangu,huenda likawa na faida kwetu sote
naaam,huenda....
Elewa ewe ndg
KILA NEEMA,HAIKOSI KUWA NA HASIDI
NA KILA...
Nimeona niwashirikishe hii mada ili wanaume tujifuze kuwa tuna haja ya kuwadokeza wake zetu au watoto wetu watiifu juu ya Asset tulizonazo ili siku hali ikiwa mbaya au tutakapotangulia mbele za...
Habari za weekend wakuu,
Leo nimeona tukumbushie enzi zilee,unacheza kombolela,lede,ukihisi kiu unakunywa maji ya kwenye mtungi.
Watoto wa kishua hamuwezi elewa hii kitu,wangapi wameshawahi tumia...
Ndugu watanzania habari ya kutekwa kwa mo dewji naiona inapotea kdgkdg wakt bado hajajulika yupo WAP na watekaji ni wakina nani????? Mo dewji ni mtanzania na ametoa mchango mkubwa sana hapa...
Mimi nilikuwa naiheshimu sana Saudi Arabia kuliko Israel lakini heshima ya Saudi Arabia imetelemka na kufikia kiwango cha chini sana baada ya kuingia vitani nchini Yemen na kuua watu kwenye nchi...
Mo kakopesha shiling ngapi mpaka kichwa kina muuma??
Hawa watakuwa viongozi wa simba tu.
Kiukweli ukitaka kugombana na rafiki yako mkopeshe alafu uwe unamdai huku wewe ukiwa huna pesa na yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.