Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani masikini. Hata tuhela twao sumuni nato wanataka kupora chini ya uratibu wa SSRA.
Blabla zinazoendelea...
Salaam wakuu,
Kwa masikitiko makubwa naomba nizungumzie huu utaratibu wa kulaza mabasi ya abiria nzega,sijajua shida ni nini wakati unatoka mikoa mingine kuja dar es salaam basi linafika siku hiyo...
Asalaam wana JF
Nafikiria kununua king'amuzi cha Easy Tv,ila kabla sijalipia ningeomba kupata maoni yawe chanya au hasi kwa yule ambaye anakitumia king'amuzi hiki.
Natanguliza shukrani zangu
Wakuu,
Isaac hatunaye; amefariki dunia akiwa nchini Ujerumani.
Taarifa kwa kina nawasogezea..
======
MTANGAZAJI MAARUFU ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA
Amefariki akiwa nchini Ujerumani alikokuwa...
Hivi karibuni StarTimes walipotakiwa kulipa malimbikizo ya kodi waliamua kupandisha bei za vifurushi vyao ili watumiaji welipe kodi hiyo, sasa baada ya kulazimishwa kutoa bure chaneli za nyumbani...
Huyu jamaa ni mfanyabiashara Wa mitumba Mbeya, alifariki mwezi 6 tarehe 4, 2018. Mpaka sasa miezi 4 mwili wake haujazikwa mpaka Leo hii.
Wanafamilia mpaka Leo hii wako kwenye matanga na shughuli...
Wakuu.
Tuulizane maswali juu ya hawa NIDA kwa nini vitambulisho vya taifa wanavitoa kwa style hiyo?
unasajili mapema unaweza kukipata miezi saba au hata baada ya mwaka wao kwao ni sawa. Haya ni...
Wana Jamvi habarini za kazi.
Nimefika hapa Arusha wiki moja iliyopita katika kufanya maandalizi ya safari na jamaa zangu. Kwa masikitiko sana jamaa yetu mmoja anayefanya kwenye taasisi moja hapa...
Office ya NIDA Arusha hapo manispaa, ID gani zinatengenezwa mwaka mzima? Kibaya ukienda kuomba namba ili ukaprocess passport hupati msaada. Wanakwambia leta invitation letter ya nchi unayotaka...
MAMIA ya waombolezaji wamejitokeza kuuaga mwili wa marehemu Ramnik Patel ‘Kaka’, ambaye alifariki Oktoba 18 mwaka huu, nyumbani kwao Uhindini mkoani Mbeya ambapo kulingana na taratibu na mila za...
Masaa machache leo ilianza kusambaa video ikimuonesha msanii maarufu wa vichekesho Tanzania Joti akiwa anamuwish Heri ya kuzaliwa Rais wa jamuhuri wa muungno wa Tanzania Mh Magufuli... Video hiyo...
Habari kutoka mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu zinaeleza kwamba Kamanda Yericko Nyerere leo ameonekana hana hatia kwenye kesi ya uchochezi Namba 181/2017 .
Ama kwa hakika Shetani hajawahi...
Habari wakuu
Katika maisha kuna mambo mengi sana ambayo binadamu ameumbiwa ili kumsaidia lakini yampasa kuwa na maarifa fulani fulani ili kuweza kugundua kwa wakati.
Nirukie moja kwa moja kwenye...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amewataka waganga wa kienyeji maarufu kama lambalamba mkoani humo kwenda kuwafufua watu waliofariki dunia, ndipo atakapowaruhusu kuendelea na kazi yao ya...
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwibara, Bunda mkoani Mara, Betha Sayi, ameingia matatani baada ya kudaiwa kuwadhalilisha wanafunzi wa kike wa shule hiyo.
Sayi anatuhumiwa kuwavua nguo zote...
Lazima tuseme kahawa bei iko chini Tanzania huku Burundi na Uganda bei ikiwa juu, mlilolitaka kwenye kahawa mmefanikiwa haya endeleeni na huko kwenye korosho ili tuone mwisho utakuaje kwa nini...
Habari wanabodi
Kama kichwa cha habari kisemavyo, ningependa kupata ufafanuzi na msaada kwa Mtanzania kuweza kupata vibali vya kufanyia kazi ukiwa Burundi na Kenya.
Ni taratibu zipi natakiwa...
Tangu binadamu wa kwanza kuumbwa,au tangu ulimwengu huu uanzishwe je unadhani ni binadamu/mtu gani anayeongoza na anayeendelea na ataendelea kutajwa tajwa sana sana na walimwengu kuliko binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.