Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,605
- 30,213
Hivi karibuni StarTimes walipotakiwa kulipa malimbikizo ya kodi waliamua kupandisha bei za vifurushi vyao ili watumiaji welipe kodi hiyo, sasa baada ya kulazimishwa kutoa bure chaneli za nyumbani ambazo wao walikuwa wanaziuza pekeyake wameamua kupandisha bei ya vifurushi ili wateja wavinunue kwa kudunduliza.
Nashauri TCRA isiachie wamiliki wapandishe bei kiholela bila kuomba kibali TCRA, pia STARTIMES wamekuwa na kawaida ya kupunguza idadi ya chaneli kwenye vifurushi bila ya taarifa wakati tayari wateja wamelipia.