"Eeh Mwenyez Mungu Nakushkuru sana kwa kuweza kunipa ujasili na Moyo wa kuyavumilia yote niliyo yapitia.
Asante sana Mh. Benard Membe, Joseph Kusaga, Haroun na Kampuni Nzima ya Spice, Mh Nchimbi...
Habar wanajamvi?
Ujumbe huu ni maalumu kwa Jeshi letu la Usalama wa Taifa,tu kama wewe sio usalama husisome hapa!
Kwanza ndgu zangu wanausalama ninayo machache ningependa kushare na nyinyi!
Kwa...
Nawashangaa sana wachungaji wa KKKT hasa jimbo la magharibi DMP. Kwa mwezi mzima utsmuona kanisani mara 2. siku ya chakula cha Bwana na siku nyingine mwisho wa mwezi lkn huwa kazi ya kuhubiri neno...
Niko mbioni kununua hii gari kwaajili ya familia... Nimependa muonekano wake na pia injini ni ndogo cc 650 nitaimudu. Hofu yangu sijui chchte kuhusu hii gari. Msaada tafadhali kwa wajuvi wa mambo...
Nauliza hivi kwa Sababu nimeshuhudia maeneo mengi ya Dar es Salam yakitawaliwa na kiza kuanzia mwanzoni mwa wiki iliyopita. Kwa mfano majuzi maeneo ya Kigogo mwisho hayakuwa na umeme siku nzima...
kuna taasisi mbili za ajabu sana mkoa wa morogoro na ninawasiwasi na mishahara wanayolipwa sijui ni kwasababu ipi
1. TANESCO. Tanesco ni kinara wa kukata umeme kila ifikapo mda wa saa kumi na...
Nimeona habari hii
Barua ya ada yawatibua wamiliki shule binafsi
Kila mara serikali inapojaribu ku regulate sekta hii kumekuwa figisu kwelikweli.
Wamiliki wa shule hizi wanajua kuwa sekta...
Hivi nyie wa tanganyika kwani lazima muungano huu, nani kati ya wazanzibari na nyie munao taka muungano huu? Mbona viongozi wa uwamsho mumewaseka ndani Kwa msimamo wao wa muungano.
Tunamwambia...
Nawashangaa sana wachungaji wa KKKT hasa jimbo la magharibi DMP. Kwa mwezi mzima utsmuona kanisani mara 2. siku ya chskula cha Bwana na siku nyingine mwisho wa mwezi lkn huwa kazi ya kuhubiri neno...
Pamekuwa na kelele za haki kukiukwa na hawa wasimamia Sheria. Kumekuwa hata na dhana kuwa kada hii imekuwa ikipokea pongezi za dhati tokea viongozi achilia mbali mapungufu mengi ambayo sisi kina...
Kwa muda mrefu binadamu amekua akijiuliza maswali ama angependa kufahamu mambo yafuatayo:
*_Nini chanzo cha uhai?_*
*_Nani mwanzilishi wa ulimwengu?_*
*_Dhumuni la kuishi ni lipi?_*
*_Je kifo...
Cheki bifu ya mzee mwenyewe 50 cent kwa hasimu wake ndio utajua kwamba mbele ni mbele tu bongo michosho, we wa uswazi eti unajifanya kumchukia mond au kiba na wakati hujawahi ingia ata show yake...
We brotherhood tumekusanyika hapa kama kawaida yetu kukutana kila baada ya muda Fulani ..
Tukiwa tunajadliana haya na yale maongezi yanalenga mafanikio tu na jinsi gani akaunti zinavyoendelea...
Leo hii nimesoma makala kwenye gazeti la Mwananchi ikiwa na kichwa cha habari Mtandao wa mirungi watikisa Moshi
Kwanza nalipongeza gazeti la Mwananchi kwa kufanya uchunguzi kuhusu biashara ya...
Nazungumzia wale ambao utotoni hata kuvaa kiatu kizuri. Ilikuwa ni shida. , msosi mzuri mpaka sikukuu.
Tukipata "maisha mazuri" huku ukubwani huwa hatuamini wengine wana shida mpaka tuone...
Vijana tunaoanza maisha nakutoka nyumbani kwenda kupanga ni raha kwetu kutokana na uhuru angalau tunaokuwa nao ila ni vyema kwenye kupanga ni vyema kutokukaa pekeyako eiza uwe umeoa au unaishi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.