JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watu wawili wakazi wa Jiji la Tanga baada ya kukutwa na meno ya tembo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Edward Bukombe, alisema watu hao wanashikiliwa...
Nimeumia sana ndani.
Kama mnavojua wanajamii, mahaba ya wazazi wa kiume kwa watoto wao wa kike, kwangu binti yangu ndio kila kitu, hili hata mke wangu anajua, wanajamii wanaonizunguka wanajua...
Flaviana MatataVerified account @FlavianaMatata 2h2 hours ago
Sisi tuendelee ku make headlines na mambo kama Kidnappings, kuzuia pregnant girls kurudi shule na contraceptive laws zetu. Mungu...
Je kuna mtu ana amini kwamba Trump anaweza kumwadhibu swahiba wake MBS kwa kitendo chake cha kinyama alichokifanya kwa kutoa order ya kuuwawa kwa jamal kashogy
Binafsi sidhani kama Trump anaweza...
Kwa muda mrefu binadamu amekua akijiuliza maswali ama angependa kufahamu mambo yafuatayo:
*_Nini chanzo cha uhai?_*
*_Nani mwanzilishi wa ulimwengu?_*
*_Dhumuni la kuishi ni lipi?_*
*_Je kifo...
Zipo taarifa kwamba Bwana Majid Abdallah ambaye ni mfanyabiashara anayemiliki mabasi maarufu ya Princess Muro, amefikishwa mahakamani Kisutu kujibu mashtaka kuhusu wizi wa mafuta takribani lita...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa Korogwe Mhe. Hilary Ngonyani amesema Mkuu wa Idara ambae atakua hajavaa suti kwenye vikao vyovyote vinavyofanyika vya halmashauri ya mji wa Korogwe atatolewa...
Nakumbuka sana mwaka jana Rais Magufuli aliongelea sana kuhusu mwamko wa watu wa mikoa ya kusini kuhusu zao la korosha na kupata mafanikio makubwa sana kiasi cha kuwanywesha mbuzi bia kwasababu tu...
Wakuu kwa miezi sasa nimekuwa na mazoea ya kutoa hela kwa hawa mawakala Wa NMB....
Sasa nimekuwa nikishangaa nikiangalia salio ni tofauti na hesabu zangu maana nilijua wanakata kama ATM...
Kumbe...
Habari watanzania,
Mi ni mtanzania ninayeishi Finland--Nokia,
Nimekuwa napitia maelekezo mbali mbali juu ya upataji wa passport mpya, nimeelewa kuwa
1. Ambao hawajawa na passport kabisa wataaply...
Ndugu zanguni,
Kwanza kabisa nawasalimieni wote.
Naomba mnisaidie mimi nina kiasi cha Shilingi Lack 5 cash, nahitaji msaada wa kufika tu South Africa. Swali langu kubwa linalonitesa ni kwamba...
WanaJF habari...
​
Kama mwanaume akimwambia mwanamke akisema Unajua mimi nakupenda sana tena nakupenda saana Lakini sipo tayari kua bwana wako. Yaani sipo tayari kua mume wako. Je, mtu...
Ukielewa kwa nini umejengwa hivyo basi utaupenda, Mji wa Iringa ni ,,ngome” ulijengwa hivyo ili kuwalinda wananchi wake dhidi ya wavamizi ndo maana ukitaka kuingia Iringa city unapanda Mlima hivyo...
Habari za wazi ni kwamba 90 % walio chaguliwa kuwa wa NEC wa CCM walitoa rushwa.Kwa tukio la juzi Membe kukodi ndege kwenda Mwanza kutoa 40mn kwenye kila kikundi cha kihuni kule Mwanza kinanifanya...
Haya ni maneno kutoka katika kitabu kitakatifu Biblia. Nimewaletea mahsusi wanasiasa wa Tanzania waweze kuazima busara hizi na kuzifanyia kazi. Ahsante!
Hiki kipindi cha miaka mitatu tumepata taabu sana kwa kila nyanja, si matajiri na wala si sisi mafukara, ninajiuliza na naomba jibu toka kwenu waona mbali pengene wenye jicho la tatu kweli...
Mzuqa wanaJF,
Mniombee nishinde bahati na sibu ya Megamillion na powerball hapa Marekani.
Megamillion ukishinda 1.6 Billion US dollar na powerball ni ni zaid ya 600 m $.
Unaweza kuchukua kesh...
Ule Mradi wa Watumishi Housing Unamlenga Mtumishi yupi hasa?! Maana idadi ya Nyumba zile kila Mkoa ni chache sana ukilinganisha na hawa wanaoitwa watumishi wa Umma. Nikaona niulize Huyu Mtumishi...
Ni tiba ya vizazi na vizazi isiyothaminiwa wala kutangazwa kama zilivyo dawa za kihindi kizungu na kichina... Ugunduzi wa mwafrika Mmasai... Jiwe la sumu limesaidia kuokoa watu wengi sana hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.