TANZIA: Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba afariki dunia

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Wakuu,

Isaac hatunaye; amefariki dunia akiwa nchini Ujerumani.

Taarifa kwa kina nawasogezea..

======

MTANGAZAJI MAARUFU ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA

Amefariki akiwa nchini Ujerumani alikokuwa anafanya kazi katika Kituo cha Redio cha Deutsche Welle(DW) Idhaa ya Kiswahili

Taarifa za awali zinasema mtangazaji huyo Mtanzania amekutwa amefariki nyumbani kwake leo Alhamisi Oktoba 18, 2018

Inaelezwa kuwa jana Jumatano na Juzi Jumanne Gamba hakuonekana kazini

Akiwa nchini, amewahi kufanya kazi vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo Redio Uhuru, RFA, ITV na Radio One

Mungu ailaze mahari pema peponi roho ya Marehemu

15181374_1385232994855357_7941946750380519374_n.jpg
 
Back
Top Bottom