Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

........................................Na Kisena Mabuba.................. Mtoto kike anapaswa kulindwa ilikufikia matarajio take au malengo yake. Changamoto anazokutana nazo ni nyingi sana...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Walionunua na kusoma gazeti hili au wenye softcopy saidia kuleta hii habari wanyonge tusome kabla hatujaacha kufanya kazi yao. ===== SERIKALI imeeleza mapato na matumizi yake katika kipindi cha...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hello wana JF habari ya siku... Ningependa kujua kitabu cha chanjo kwaajili ya safari za nje ya nchi kinapatikana wapi hasa na gharama yake huwa ni kiasi gani?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nazungumzia wale vijana walioajiriwa kwenye taasisi mbalimbali za serikali, wengi wenu hamfanyi kazi ipasavyo! Hamko serious kabisaaaa na kazi! Mmepewa vyeo kwa sababu tu ya elimu zenu wengine...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Kupitia TBC Habari jioni hii nimeona na kusikia kuwa Miss Tanzania atatumia Kiswahili ili kuitangaza Tanzania na vivutio vya kitalii katika shindano la kumtafuta mrembo wa dunia yaani Miss World...
1 Reactions
5 Replies
978 Views
Askari Polisi wa Wilaya ya Kinondoni amefanya uporaji kwenye ofisi za kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo jijini Dar es Salaam. Oktoba 3, mwaka huu saa tatu usiku, askari aliyefahamika...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Serikali yangu tiifu naomba sana tena sana muwe mnafanya usawa katika jambo hlii. Ushauri wangu ni kwamba, pale mnapotoa ajira mfano za walimu, mahakimu, askari wa majeshi yetu yote, sekta ya...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Mbona vilio vya social media mitaani sivioni? Ingekuwa naishi nje ya nchi nikawa napitia tu posts kikundi fulani cha watu kwenye social media, ningeweza kupata picha ya society ya Watanzania...
5 Reactions
59 Replies
4K Views
Fact nlikutana nayo kila mahali kutoka kwa wanasaikolojia ni kwamba mda wa wastani wa kutunza siri kwa mwanamke ni masaa 47 na dakika 15 Je kuna ukweli kwa hili? Kama ni kweli basi mi ntakua...
1 Reactions
53 Replies
9K Views
Salamu kwa wana Jf wote, Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye pint ,Ndugu zangu nasumbuliwa sana sijui niseme ni vibaka au watu wa namna gani? huwa wanaingia ndani na kuanza kupekuwa shida...
6 Reactions
123 Replies
13K Views
Salaam! Kwa Siku Ya Tano Sasa Najitahidi Kufanya Malipo Ili Kuweza Kujisajili, Lakini Napata Sana Shida Kupata Kile Kinachoitwa Control Number. Nimefika hadi Chuoni Na Kukuta Watu Wengi Tu...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Sasa huyu mwenzetu sijui atashinda? Kwa ubaguzi ninao shuhudia huku state usiombe kabisa ukupate. Watu na vingereza vyao vya kiobama Obama voice tu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MAELEZO YA NYOTA YA SIMBA LEO Hii ni nyota ya Tano katika mlolongo wa nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 23 Julai na 22 Agosti au wenye majina yalio anza na herufi E na Q...
0 Reactions
8 Replies
34K Views
Ni kwamba.... Kama Wewe umekuwa ni Mtu wa kuangalia sana aina ya Majengo na Madaraja marefu kabisa yaliyopo nchini China huku Wafanyakazi wengine wakiwa juu ya Milima mirefu na hatari wakiwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hawa ndio vijana wenye umri mdogo waliofanya mambo makubwa kuzidi umri wao.. 1.Dkt Salim.A.Salim Huyu bwana akiwa na miaka 19 alikuwa chief au mwakilishi wa zanzibar nchini Cuba..alivyofikisha...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
1. JPM wa kwenye Kampeni na JPM wa Magogoni, hawa siku ikitokea wakakutana hakuna wa kuamua huu ugomvi. 2. Kitila wa ACT na Kitila wa Wizara ya Maji, hawa watu wana ugomvi mkubwa sana. 3. Polepole...
13 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wana Jf? Kuna professionals wanafanya kazi kwenye private sectors ambazo ni "Profit seekers" na ni taasisi au makampuni makubwa tu. Lakini waajiriwa wao ambao si vibarua bali ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natumah hamjambo wanajamvi! Leo nikiwa kwenye pita pita zangu nimefika Wilaya ya Magu,ni kama mwendo wa dakika tano kutoka kituo kikuu cha polisi wilaya ya Magu kuna sehemu nmekuta magodawn mengi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukiwa Moshi Mjini usipende kukaa chini ya miti , kuna nyoka wengi sana wa kijani. Hata gari usipende kupack chini ya miti au kuacha vioo wazi. Nyoka wa kijani ni wajinga sana. Wanapenda sana...
7 Reactions
45 Replies
6K Views
Ili ufanikiwe katika maisha, biashara, Sanaa, michezo, na vingine vingi Fanya yafuatayo;_ 1. Fanya unachofikiria kifanyie kazi kilichopo kichwani mwako. 2. Fanya walivyo shidwa wenzako usifanye...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom