Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
Hayo yamesemwa leo katika maadhimisho ya siku ya walemavu wa akili duniani. Maadhimisho hayo yamefanyika Mirembe. Bangi ni kati ya madawa ya kulevya yanayoongeza kwa kasi ongezeko la walemavu wa...
3 Reactions
Replies
Views
dunia inapitia mabadiliko makubwa ya kihistoria. nchini uingereza tayari waziri mkuu mwanamama ameshashika usukani.Ujerumaninchi yenye uchumi imara ulaya angela yuko tayari, Muda sio mrefu bi...
1 Reactions
2 Replies
662 Views
  • Redirect
Simu ya Samsung Note 7 ilishika moto ikifanyiwa uchunguzi maabarani Singapore Samsung imetoa wito kwa watu wenye simu aina ya Galaxy Note 7 kuzizima mara moja huku ikifanya uchunguzi kubaini ni...
0 Reactions
Replies
Views
Hivi ni kweli Mama wa taifa Mama Mpendwa, Maria Nyerere ni mwenyeji wa Dodoma? Na kama si kweli je ni mwenyeji wa mkoa gani? Naomba kufahamishwa. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana simu yangu ya AIRTEL ilikuwa "HACKED" na baadhi ya namba za watu walioko kwenye simu yangu kutumiwa ujumbe wa kutakiwa kutuma pesa. Moja wa ujumbe ni huu hapa chini: Nawaasa mtu yoyote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejiuliza maswali bila kupata jibu! Katika kitabu cha Biblia,kitabu cha mwanzo 1:1 -15 tunaelezwa juu ya uumbaji wa dunia na vitu vilivyomo ndani take,na hapakuwa na mtu na you're zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hivi inawezana kweli ukawa upo katika mstari / foleni unasubiri kupata huduma halafu ' Nge ' akakufuata tu Wewe na kukudhuru? Hivi inawezekana kweli sehemu uliyopo wapo Watu wengi halafu ' Nge '...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Lhrc wanapendekez adhabu hii ifutwe nchini,moja ya sababu zao ni kua zaidi ya nchi 140 Duniani wameiondoa adhabu hiyo. Najiuliza kwa nchi hizi za kwetu zinazoendelea/maskini kuondoa adhabu ile...
0 Reactions
2 Replies
609 Views
Nimekuwa nikishangazwa na Mamlaka hii, imekuwa ikitamani sana kuona kila mtu analipa kodi lakini cha kushangaza sioni wala kusikia vipindi vya redio,TV au hata makala za muendelezo(Safu) za elimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wafanya kazi wanaisoma namba weeee!!! No kupandishwa vyeo no kuongezwa mishahara!! Waliosoma waje kuajiliwa wanaisoma balaaa!! Soma namba weeee!! Baada ya uhakiki wa wafanya kaz hewa tutaenda...
10 Reactions
52 Replies
4K Views
Hali sio shwari katika hospitali ya wagonjwa wa cancer ocean road hasa hasa wagonjwa wanaosubiri mionzi ya matiti. Tokea mwezi wa sita mwaka huu wagonjwa wanaosubiri mionzi (wa cancer ya matiti)...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mtu mmoja ameuawa na wananchi wenye hasira kali akidhaniwa kuwa ni popobawa. Anadaiwa kuwa amekuwa akiwaingilia kimwili watu kimazingara. Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro athibitisha kutokea...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya wazazi, marafiki na ndugu wengi wamekuwa wakiibiwa sana pesa hasa kwa mfumo wa mtandao, kwa mfano, kuna mzazi mmoja ambaye yupo Mbeya, lakini anakijana wake yupo mikoa ya Kanda ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kampuni ya SIMBA MOTOR inajenga kiwanda cha kuunganisha magari apa Tanzania na wamesema kabla ya 30 December mwaka huu kitakua kimeshaanza kuzalisha magari apa nchini. CHANZO....... :: Kampuni...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
kutoitendea pesa haki ni sawa na kutomhudumia mkeo kama mwanamke anavyostaili hudumiea na kuridhishwa. Hata kama unaimiliki pesa na umeipata kwa shida,bado unatakiwa kuheshimu haki ya pesa,haki...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Kama tunavyojua wanajamvi, Mtumishi anapokuwa kazini anaweza kufanya vizuri kazi yake hata kama cheti kilichompa ajira si halali. Lakini inasadikiwa kwamba wanaofanya kazi bila uweledi ni wale...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Mimi ni konda wa scania ila gari limeharibika hapa Dumila tukiwa tunaelekea Dodoma. Tumebeba cement mifuko mia sita. Tangu asubuhi dereva hajarudi kutafuta fundi na simu hapatikani halafu sina...
0 Reactions
7 Replies
987 Views
Leo nilipanda daladala sehemu ya kulipa sh mia nne hata kutembea ningeweza sema tu uvivu na jua kali. Nikampa konda sh elf kumi akanipa chenji yangu vizuri tu mi sikuangalia nikatupia tu kwa...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
*TAHADHARI KWA ABIRIA WAISHIO _DAR ES SALAAM_* Ikifika jioni maeneo ya *Mnazi Mmoja* kwa sababu ya shida ya usafiri wa kutoka katikati ya jiji kwenda maeneo mbalimbali pembezoni mwa mji, kuna...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amemtaka Katibu Mkuu wa wizara hiyo kufanya uchunguzi ndani ya siku kumi na nne kubaini sababu za kuchelewa kuanza kwa ujenzi wa Chuo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom