Hello wana JF habari ya siku... Ningependa kujua kitabu cha chanjo kwaajili ya safari za nje ya nchi kinapatikana wapi hasa na gharama yake huwa ni kiasi gani?
Okey shukrani mkuu kwa msaada wako maana kuna raia washageuza dili kumbe niliambiwa elfu40 duh kumbe havina gharama sana.... ila nipo mkoani mwanza sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.