Ushauri: Serikali muwe mna balance hii kitu!!!

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,962
Reaction score
35,215
Serikali yangu tiifu naomba sana tena sana muwe mnafanya usawa katika jambo hlii.

Ushauri wangu ni kwamba, pale mnapotoa ajira mfano za walimu, mahakimu, askari wa majeshi yetu yote, sekta ya afya, kilimo na nyinginezo, muwe mnafanya hivi: Wale ambao walizaliwa na kukulia mjini WAPANGWE VITUO VYA KAZI HUKO VIJIJNI na sisi akina Nahuja ambao tulizaliwa kijijini na kukulia kijijini TUPANGWE MJINI.

Inapendeza kila mmoja akionja kuishi katika mazingira ambayo hakuwahi kuishi tangu utoto wake.

Haipendezi mtu kazaliwa "Dasilamu" amekulia hapo hapo Dar, halafu tuseme ni mwalimu wa shule ya msingi, anapangwa tena kufundisha Bunge Shule ya Msingi. Au kama mimi Nahuja nimezaliwa upareni Mwanga, halafu tena napangwa kufundisha Shule ya Msingi Kibaya - Kiteto!!!

🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Hivi nitaweza kula makande kweli?nitaweza kupuliza moto kwa mashavu?
 
Utaweza. hahahahaahh
Na sie tuliokulia kwenye makande tunataka tukale piza na kutumia jiko la gesi, tehe tehe
 
Back
Top Bottom