Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi...
Mhe. Frederik Sumaye amefiwa na mama yake mzazi leo mchana saa saba huko Endasaki mkoa wa Manyara nyumbani kwake.
Mungu ailaze roho ya mama yetu mahala pema peponi. Amen
-----------
Chama cha...
Habari wanajamvi
Naomba kuuliza,hivi ujenzi wa barabara ya lami Mhongolo umefikia wapi?imekuwa kero kilometer 03 zinajengwa mwaka mzima?Vifusi vimewekwa barabarani bila kusambazwa...TANROAD MKOA...
Nimeshuhudia watumishi wengi wa umma wanachama wa CCM wakivaa sare za CCM na kupost picha hizo kwenye mitandao ya kijamii.
SWALI:
Hivi watumishi wa umma wanachama wa CHADEMA, CUF, ACT wanaweza...
Jamani kuna Rehabilitation place kwa mashoga!? Sijui Makonda akiwakamata atawapeleka wapi, au anawataka kuwakamata ili afanye nao nini kama hakuna solution ya kuwasaidia kuacha. Maana hata kutumia...
Mtu alieamua kuishi maisha yake leo anakwenda kula chakula cha JMT bure jela. Hiyo pesa ingenunulia Magunia ya mchele na maharage kwenye nyumba za kulelea watoto yatima. Nani asiyejua wali...
Kwenye maisha kuna mambo ya ajabu sana kuna watu wema kabisa na mbinguni wataenda ila kwa mifumo na namna fulani fulani ya maisha watu hao wanashindwa kujidisconect na shetani
maisha ni ya ajabu...
SIMANJIRO WAANZA MIKAKATI YA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA
Wilaya ya Simanjiro imeanza mikakati kuweka mikakati motomoto ya ujenzi Wa hospitali ya wilaya kuitikia agizo ma serikali la kujenga...
Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Veronika Kesi ametoa amri ya kupewa adhabu ya kuchapwa viboko kwa vijana au mtu yeyote atakaye onekana kuvaa mavazi yasiyo na staha katika jamii ya wakazi...
Nipo hapa maeneo ya buza kwa mama kibonge, habari ni kwamba jamaa mmoja ambae hajafahamika jina lake wala la mpenzi wake, amemchoma kisu mpenzi wake hadi kufa.
Jamaa baada ya kumchoma mpenzi wake...
Wakati yeye siyo Mwanamke, na wala hana genes za kike, iweje ajifanye Mwanamke? Kwa nini asiwe tu na tabia yake ya ki-gay ya kipekee, kwanini ili awe gay ni lazima ajifanye Mwanamke?
Salaam wana JF
Naomba msaada wa kujua nini vinahitajika kurudisha/kurenew kitambulisho cha taifa
Mimi ni mkazi wa Dar Wilaya ya Ubungo
Nianzie wapi na natakiwa kumuona nani nikiwa na nini...
My dear jamiiforums coleagues i am leaving in a house where my father is championing all evils
all misfortunes in our family my father is a source
stealing
abducting
killing
all satanic deeds...
Wasalamu wanaJF wenzangu
Ilikuwa mwaka 2015 mwezi 9 baada ya kupata likizo ya kimasomo nikaamua kurudi nyumbani kupumzika na kuwasalimia ndugu jamaa na marafiki!
Kwa kawaida ninapokuwa nyumbani...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 mwizi alikamatwa akiwa ameiba radio kiukweli baada ya kukamatwa alipokea kichapo heavy toka kwa wananchi mwishowe akajitokeza MTU mmoja akiwa na msumari mrefu na...
Mjadala Mkali wa kujadili Ripoti ya kamati ya fedha katika Bunge la NNE la Afrika Mashariki,EALA umeendelea Jana huku wabunge mbalimbali wakiendelea kumtupia lawama katibu Mkuu wa jumuiya ya...
HATUA ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuikana kampeni ya kukabiliana na vitendo vya ushoga iliyoanzishwa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda...
Ushiriki wa wabunge wa upinzani ndani ya Bunge unaonekana kuendelea kuwa finyu kutokana na hamahama, huku halmashauri zikizidi kupoteza idadi kubwa ya madiwani na wenyeviti walioingia madarakani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.