TAHADHARI : Moshi kuna nyoka wengi sana juu ya miti

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Ukiwa Moshi Mjini usipende kukaa chini ya miti , kuna nyoka wengi sana wa kijani. Hata gari usipende kupack chini ya miti au kuacha vioo wazi.

Nyoka wa kijani ni wajinga sana. Wanapenda sana kusikiliza mziki au mazungumzo ambayo mnaongea. Utakuta ananing'inia karibu kabisa na mnpoongea halafu anatulia. Kama ikimpendeza utaona amenogewa na kusinzia kabisa. Mara paaaapu amekudondokea !

Ambao hulala chini ya miti hudondokewa sana na nyoka wa kijana. Puuu juu yakiwiliwili chako. Hapo sasa.

Miti mingi Moshi ukiwa makini kuangaza kwa juu, utaona nyoka wengi sanaaa.Rundo la nyoka.

Mmoja aliwahi kunidondokea. Nikapanick, nae akapanick , tukawa tunaangaliana tu.

Muwe makini sana.
 
.
images%20(8).jpg
 
"Nyoka wa kijani ni wajinga sana. Wanapenda sana kusikiliza mziki au mazungumzo ambayo mnaongea. Utakuta ananing'inia karibu kabisa na mnpoongea halafu anatulia. Kama ikimpendeza utaona amenogewa na kusinzia kabisa. Mara paaaapu amekudondokea !"

Aiseee [emoji1] [emoji1]
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
"Nyoka wa kijani ni wajinga sana. Wanapenda sana kusikiliza mziki au mazungumzo ambayo mnaongea. Utakuta ananing'inia karibu kabisa na mnpoongea halafu anatulia. Kama ikimpendeza utaona amenogewa na kusinzia kabisa. Mara paaaapu amekudondokea !"

Aiseee [emoji1] [emoji1]
CCM
 
Nyoka kweli au mababu zenu walifariki wanakuja kuwapa kampani!!
 
Daaah!! Jamaa umetisha nyoka wa kijani wanasikiliza muziki na maongezi?

Si kweli bana, msimu wa baridi ndiyo wanakuwa wengi maeneo ya makazi kwa kuwa wanakimbia baridi na umande porini wanakuja maeneo ya makazi baridi inakuwa imepungua!!

Ukikaa chini ya miti anakusogelea kupata joto lako na anaweza kulipata kwa umbali fulani!
 
Ukiwa Moshi Mjini usipende kukaa chini ya miti , kuna nyoka wengi sana wa kijani. Hata gari usipende kupack chini ya miti au kuacha vioo wazi.

Nyoka wa kijani ni wajinga sana. Wanapenda sana kusikiliza mziki au mazungumzo ambayo mnaongea. Utakuta ananing'inia karibu kabisa na mnpoongea halafu anatulia. Kama ikimpendeza utaona amenogewa na kusinzia kabisa. Mara paaaapu amekudondokea !

Ambao hulala chini ya miti hudondokewa sana na nyoka wa kijana. Puuu juu yakiwiliwili chako. Hapo sasa.

Miti mingi Moshi ukiwa makini kuangaza kwa juu, utaona nyoka wengi sanaaa.Rundo la nyoka.

Mmoja aliwahi kunidondokea. Nikapanick, nae akapanick , tukawa tunaangaliana tu.

Muwe makini sana.
Labda moshi bar
 
"Nyoka wa kijani ni wajinga sana. Wanapenda sana kusikiliza mziki au mazungumzo ambayo mnaongea. Utakuta ananing'inia karibu kabisa na mnpoongea halafu anatulia. Kama ikimpendeza utaona amenogewa na kusinzia kabisa. Mara paaaapu amekudondokea !"

Aiseee [emoji1] [emoji1]
Namkumbuka sana maremu mama yangu miaka hiyo alikua akikuona unapenda kusikiliza mambo yasiyokuhusu anakwambia namnukuu " unairughumi tha nyoka ya bili" maana yake ni kwamba usipende kusikililiza mambo yasiyokuhusu kama nyoka wa kijani. Nisaidieni ndugu sake mama. Ila ni kweli nyoka hao ni wambea.
 
Ukiwa Moshi Mjini usipende kukaa chini ya miti , kuna nyoka wengi sana wa kijani. Hata gari usipende kupack chini ya miti au kuacha vioo wazi.

Nyoka wa kijani ni wajinga sana. Wanapenda sana kusikiliza mziki au mazungumzo ambayo mnaongea. Utakuta ananing'inia karibu kabisa na mnpoongea halafu anatulia. Kama ikimpendeza utaona amenogewa na kusinzia kabisa. Mara paaaapu amekudondokea !

Ambao hulala chini ya miti hudondokewa sana na nyoka wa kijana. Puuu juu yakiwiliwili chako. Hapo sasa.

Miti mingi Moshi ukiwa makini kuangaza kwa juu, utaona nyoka wengi sanaaa.Rundo la nyoka.

Mmoja aliwahi kunidondokea. Nikapanick, nae akapanick , tukawa tunaangaliana tu.

Muwe makini sana.
Ni kweli kabisa anayebisha hajui tu.
 
Huku kwetu wanaita kilamba tembo eti hawadhuru hawana shida binafsi naona nyoka ni nyoka haijalishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom