Naomba msaada: Nasumbuliwa sana na vibaka nyumbani kwangu

NGERESHAA

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,237
1,668
Salamu kwa wana Jf wote,
Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye pint ,Ndugu zangu nasumbuliwa sana sijui niseme ni vibaka au watu wa namna gani? huwa wanaingia ndani na kuanza kupekuwa shida yao kubwa ni hela japo vitu vidogo dogo navyo huwa wanachukua,wakikuta msosi au vinywaji navyo wakula na kunywa hii imenitokea zaidi ya Mara 9 ndani ya Muda mfupi.

Pengine linachagizwa na kazi yangu kwani ni kazi ya kushika hela muda wote/kucheza na hela muda wote.
Nimekuwa na wakati mgumu siwezi acha Simu ndani mchana au hela kwani matukio yote ni mchana.

Nia yangu mnisaidie Dawa yoyote au chochote ambacho naweza changanya kwenye Chakula au kinywaji nimkamate Mwizi Wangu.

N:B sitaki Dawa ya kuua kwani kama ndivyo ungekuta Muda mtu ashatembea kwa imani yangu hilo ni swala nyeti namwachia MUUMBA/MUNGU.nataka ya kumlevya awe nusu kaputi nimkute kwani huwa wanaruka wigo mrefu tu na kuvunja dirisha na kuingia Ndani .
Asanteni na naamini nitasaidiwa.
 
Weka dawa ya usingizi kwenye chakula na vinywaji
 
Mkuu uko mkoa/wilaya gani? unaonekana unapesa sana - Unacheza nazo tu mda wote. je wanajua kwamba unahela? Pengine tufunge vifaa maalum hapo kwako. Yaani mtu akishika mlango tu nyumba nyumba nzima inapiga ving'ola.. Hapa ni nzuri kama unaishi peke yako.
 
hapa ni dawa au camera kabisa
 
Mkuu uko mkoa/wilaya gani? unaonekana unapesa sana - Unacheza nazo tu mda wote. je wanajua kwamba unahela? Pengine tufunge vifaa maalum hapo kwako. Yaani mtu akishika mlango tu nyumba nyumba nzima inapiga ving'ola.. Hapa ni nzuri kama unaishi peke yako.
Sasa hivi kuna MAGUFULI yanayopiga kelele yakiguswa
 
Back
Top Bottom