Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nisaidieni jamn mm sko mtalaam wa benk!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo nilimsindikiza rafiki yangu PPF kwenda kuangalia uwezekano wa kupata hela yake aliyoichangia akiwa kazini. Rafiki yangu aliachishwa kazi yapata miezi saba sasa, na alishindwa kuchukua hii hela...
17 Reactions
81 Replies
9K Views
Idadi ya Wasichana wanaokeketwa imeshuka kwa kiwango kikubwa katika nchi za Afrika Mashariki hii ni katika kipindi cha miaka takribani miaka 20 Utafiti unabainisha kuwa ukeketaji kwa Wasichana wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
UTANGULIZI. Ni matumaini yangu wazima nyote. Baada ya Maisha kunichapa mwaka 2016 nikajikuta nimeingia katika kazi ya bodaboda. Kazi ambayo nimedumu nayo mpaka sasa, Licha ya kuwa nimepata kazi ya...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa makosa ya jinai amesema atawashughulikia vikali wale wote wanatuma vijineno vya uzushi mitandaoni sambamba na wale wanaopost picha za ngono. Chanzo: Uhuru!
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Wiki iliyopita, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alitangaza kuanza kampeni dhidi ya ushoga kwa kuunda kamati ya watu 17. Makonda alisema haki za mashoga hazitambuliki kama haki za...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Waungwana hongereni kwa uhai hadi muda huu...... mara kwa mara napata notification ya app ya TALA. Wanahusika na kutoa mikopo. Ila ukitaka kujiunga unaweka namba yako ya simu sasa wananitisha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Najua baadhi yenu mshawahi kuiona na wengi hamjawahi kuiona hii movie nzuri ya kusisimua na ya kutisha pia yenye mafundisho ndani yake. Hii ni movie iliyotoka mwaka 2009 inayoelezea maisha ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Upo uwezekano wa kumtesa mtu emotionally bila kukutana nae ana kwa ana? Maumivu anayopewa mtu bila kuguswa mwili wake.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani nchini, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akiwa Bungeni leo amesema kuwa tangu usafiri wa Bodaboda na Bajaji kuanza kutumika kama vyombo vya usafiri mwaka...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Namtabiria msanii Dimond kuja kuchaguliwa kuwa mtu fulani, mimi huwa siguswi na jambo lolote katikA maisha, ila kuna moja amelifanya limeugusa moyo wangu, na moyo wangu ukiguswa kiasi hiki, basi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru),Mkoani Kilimanjaro,inawashilkilia waliokuwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kwa tuhuma za kutumia nyaraka za uongo kwa lengo la...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kundi la paka wapatao 12 wameshiriki mazishi ya Salehe Matiko aliyezikwa saa 10 alasiri ya Agosti 24 katika Kijiji cha Chikalala mkoani Lindi. Marehemu Matiko aliuawa kwa kushambuliwa na wakazi...
8 Reactions
99 Replies
21K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa leo itasoma hukumu ya kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi #Tanzania (TSNP), Abdul Nondo. Katika kesi ya msingi, Nondo anakabiliwa na makosa mawili...
57 Reactions
260 Replies
39K Views
BARAZANI KWA RAJAB Jamal Khashoggi: kufa kufaana Na Ahmed Rajab KAMA nilivyoeleza katika makala ya mwanzo niliyoandika kuhusu mauaji ya mwandishi Jamal Khashoggi (“Sema unayotaka kusema...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Mjadala Mkali wa kujadili Ripoti ya kamati ya fedha katika Bunge la NNE la Afrika Mashariki,EALA umeendelea Jana huku wabunge mbalimbali wakiendelea kumtupia lawama katibu Mkuu wa jumuiya ya...
0 Reactions
3 Replies
933 Views
Watangazaji wa Kipindi cha Jahazi-Clouds FM cha kuanzia saa kumi kamili hadi saa moja kamili usiku,wote wakiwa wa kiume wameitana mashoga 'live' redioni. Watangazaji hao Wasiwasi Mwabulambo...
2 Reactions
48 Replies
17K Views
Hayo aliyaandika mwaka 2016 Anaanza LEO NTATOA SOMO KIDOGO: TAFADHALI SOMA UJUMBE WOTE UELEWE GOVERNMENT SWITCHING COST: Madhara au mateso yatokanayo na kubadili mfumo kutoka mfumo usio sahihi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwanini wao wamepata? Wakati watu wengine kila wakiomba wananyimwa mpaka wanaenda mikoani? Ni nani yupo nyuma yao
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamii mbalimbali duniani zimekuwa na tamaduni za kipekee ambazo zimekuwa kwa kiasi fulani kuwa kama historia ama hadithi za kusadikika licha ya baadhi ya watu kuhusisha moja kwa moja na ukweli...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom