Ksy
Member
- Nov 5, 2018
- 12
- 13
Ili ufanikiwe katika maisha, biashara, Sanaa, michezo, na vingine vingi Fanya yafuatayo;_
1. Fanya unachofikiria kifanyie kazi kilichopo kichwani mwako.
2. Fanya walivyo shidwa wenzako usifanye wanavo fanya.
3. Kamwe usiamini pesa ni mtaji amini mtaji ni akili yako.
4. Fanya juu chini uwe mbaaili hapa wengi wanashidwa utakufa maskini kuwa baiili utafanikiwa.
5. Kuwa mbunifu watu wengi upendelea kuona kitu, jambo, bidhaa mpya especially in Tanzania.