junky
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 413
- 976
Hawa ndio vijana wenye umri mdogo waliofanya mambo makubwa kuzidi umri wao..
1.Dkt Salim.A.Salim
Huyu bwana akiwa na miaka 19 alikuwa chief au mwakilishi wa zanzibar nchini Cuba..alivyofikisha miaka 22 akateuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Egypt na alivyokuwa na miaka 23 akapelekwa kuwa balozi nchini India alidumu hapo mpaka alivyokuwa na miaka 27 akapelekwa kuwa Balozi nchini China.
2.Yassin Membar
Huyu bwana akiwa na miaka 21 aliteka nyara ndege na kushinikiza rais wa awamu ya kwanza aachie madaraka ..aligonga headline kwenye vyombo vya habari duniani
3.Zakaria Hans poppe na Maganga
Capt Hans poppe akiwa na miaka 25 pamoja na maganga 26 walifanya majaribio ya kupindua serikali lakini majaribio hayo yalizimwa..