Mapito ya mtoto wa kike

Mapito ya mtoto wa kike

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
........................................Na Kisena Mabuba..................

Mtoto kike anapaswa kulindwa ilikufikia matarajio take au malengo yake. Changamoto anazokutana nazo ni nyingi sana katika kufikia ndoto zake.

Changamoto hizo zimekuwa mwiba kwa watoto wengi wa kike kufika ndoto zao. Zimekuwa ni ndoto kweli kwa wengi wao.

Baadhi ya changamoto hizo;

1. Mila na desturi, ambapo bado jamii inaamini mtoto wa kike ni:

a). Chombo cha kuzalisha Mali

b). Ni mtu wa kuolewa tu, na akisha olewa azae na kulea watoto tu.

c). Chombo cha starehe, kumstarehesha mwanaume.

d). Kiumbe dhaifu kisicho na mchango katika jamii yake, ni kiumbe cha kupokea amri kutoka kwa mwanaume.

e). Mama wa nyumbani anahitaji kuhudumiwa tu.

f). Mtoto ambaye anahitaji malezi ya Mme na ndugu zq Mme.
 
Malezi bora kuanza ngazi ya familia
Kuboresha elimu, miundombinu,
kupunguza umasikini katika jamii, kusimamia na kutekeleza sheria.
 
Inaanza na wewe, acha kuweka tofauti kati ya mtoto wa kike na wa kiume, tofauti yao ibaki kimaumbile tu bali shule, majukumu wote wapangiwe sawa, atakuwa anajielewa hata yumbishwa na prpoaganda za kuwa ni kiburudisho.
 
........................................Na Kisena Mabuba..................

Mtoto kike anapaswa kulindwa ilikufikia matarajio take au malengo yake. Changamoto anazokutana nazo ni nyingi sana katika kufikia ndoto zake.

Changamoto hizo zimekuwa mwiba kwa watoto wengi wa kike kufika ndoto zao. Zimekuwa ni ndoto kweli kwa wengi wao.

Baadhi ya changamoto hizo;

1. Mila na desturi, ambapo bado jamii inaamini mtoto wa kike ni:

a). Chombo cha kuzalisha Mali

b). Ni mtu wa kuolewa tu, na akisha olewa azae na kulea watoto tu.

c). Chombo cha starehe, kumstarehesha mwanaume.

d). Kiumbe dhaifu kisicho na mchango katika jamii yake, ni kiumbe cha kupokea amri kutoka kwa mwanaume.

e). Mama wa nyumbani anahitaji kuhudumiwa tu.

f). Mtoto ambaye anahitaji malezi ya Mme na ndugu zq Mme.
Mkuu na changamoto za Chuoni je kama mtoto wa kike,changamoto za kufukuliwa/kuchekiwa kila mara eti mtoto amekaaje na madaktari wa kiume...nk..nk
 
Back
Top Bottom