Miss Tanzania ahaidi kutumia Kiswahili kuitangaza Tanzania na vivutio vya kitalii. Je wig na kope za bandia anazozivaa ni za kutangaza nchi gani?!

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,305
12,968
Kupitia TBC Habari jioni hii nimeona na kusikia kuwa Miss Tanzania atatumia Kiswahili ili kuitangaza Tanzania na vivutio vya kitalii katika shindano la kumtafuta mrembo wa dunia yaani Miss World. Sasa nauliza hilo wig analovaa muda wote na kope za bandia ndiyo maumbile ya asili ya mwanamke wa kitanzania?! Kwanini asionekane katika uasili wake kama Flavian Matata siyo lazima anyoe kipara kama Flavian anaweza hata kusuka au kuzifunga mabutu lakini kwa hayo mawig na kope za bandia anakwenda kutangaza uhindi au uchina ndiyo maana ATASHINDANA LAKINI HATADHINDA!!
 
Akili zao zimeishia kujiona wabaya hivo wavae wig wawe wazungu.Wana matatizo ya akili hata waume zao wanaowaruhusu wavae mawig nao ni wa kuwatilia mashaka.
 
Kupitia TBC Habari jioni hii nimeona na kusikia kuwa Miss Tanzania atatumia Kiswahili ili kuitangaza Tanzania na vivutio vya kitalii katika shindano la kumtafuta mrembo wa dunia yaani Miss World. Sasa nauliza hilo wig analovaa muda wote na kope za bandia ndiyo maumbile ya asili ya mwanamke wa kitanzania?! Kwanini asionekane katika uasili wake kama Flavian Matata siyo lazima anyoe kipara kama Flavian anaweza hata kusuka au kuzifunga mabutu lakini kwa hayo mawig na kope za bandia anakwenda kutangaza uhindi au uchina ndiyo maana ATASHINDANA LAKINI HATADHINDA!!
Mi hata simjui ananfananaje 😩😩😩
 
Back
Top Bottom