Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

TAARIFA KWA UMMA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linakanusha vikali taarifa inayo sambaa katika mitandao ya kijamii kuwa kutakuwa na tatizo katika mfumo wa manunuzi ya LUKU kuanzia...
1 Reactions
98 Replies
18K Views
TAHADHARI KWA VIONGOZI WA KITETO. Kwa mujibu wa hotuba ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhandisi TUMAINI MAGESA kwenye kikao cha baraza la madiwani mwishoni mwa wiki. Alisema inaonyesha migogoro ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanafunzi wa elimu ya juu wanaanza masomo jumatatu. Cha kushangaza bodi ya mikopo inaendelea kupitia maombi ya mikopo kwa waombaji wa mwaka wa kwanza wapatao elfu 12. Wengi wao wameshafika vyuoni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ofisi ya Rais-Tamisemi imetangaza majina ya waalimu wapya ambao wanachukua nafasi za waalimu wa shule za msingi ambao hawakuripoti kwenye shule zao mwezi July! Cha kushangaza ni masomo yao ya...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Kwa wale mliopo mjini mnaweza msijue mateso waliyonayo wa kijijini ila maisha haya wanayoishi siyo Yale waliyoahidiwa. Piga gharama anayotumia mkulima kuzalisha alafu angalia bei ya soko, mahindi...
12 Reactions
20 Replies
3K Views
Heshima yenu wakuu, Nimekaa nikatafakari sana kuhusu kifo cha kinyama kabisa cha yule binti wa Makumira. Wengi wetu habari tulizo zipata mitandaoni ni kuwa alibakwa na wahuni mpaka kupelekea...
9 Reactions
76 Replies
10K Views
Amani iwe juu yenu wakuu. Naombeni kujuzwa kuhusu namna ambavyo ninaweza kuweka pesa zangu bank ambazo ni halali yangu yaani sio za magumashi ila nashindwa kujua nitawezaje kufungua akaunti kwa...
2 Reactions
112 Replies
11K Views
Enyi wapenda maendeleo humu JF; Nimeona niwashirikishe machache juu ya Daraja pendwa, daraja kubwa la kigamboni linalounganisha kigamboni na kurasini. AINA ZA BARABARA Daraja hili lina njia...
40 Reactions
79 Replies
27K Views
Mumpigie debe mzee wa tafakuri baada ya habari ndani ya runinga yetu pendwa angalau awe katibu tawala wa mkoa wa singida tu. Huyu jamaa nimekuwa nikimsikia mara kwa mara kwenye runinga hata watu...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakati sekeseke la ushoga likiendelea kutingisha nchini Tanzania, nimepenyezewa taarifa kuwa, chanzo cha baadhi ya wanaume walioko ama waliowahi kuwa kwenye ndoa kuwa mashoga ni kuzindikwa dawa na...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Ilikuwa ni usiku wa kuamkia tarehe 7 Nov 2018 mjini Morogoro maeneo ya Masika ambapo askari wawili wa FFU wakiwa rindoni katika benki ya CRDB tawi la Morogoro Mjini waliona vijana wawili...
27 Reactions
97 Replies
11K Views
Je ushawaza unapita getini kuingia kazini kwako unampita mlinzi kama mti,unamuona kama hajasoma vile,ila kampuni ikifa ni yeye pekee atabaki pale.vilevile maslahi yao ni ya ovyo sana.hebu...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Waziri Mkuu Mhe.Khasim Majaliwa amewataka wakulima wa korosho nchini kuwa wavumilivu na watulivu wakati huu ambao Serikali inatafuta wanunuzi wa zao hilo. Waziri mkuu amesema hayo bungeni mkoani...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa fedha wa DTB Tanzania, Joseph Mabusi (wa tatu kushoto) akimkabidhi Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Amana, Dkt. Amim Kilomoni baiskeli za wagonjwa ambapo pia walikabidhi vifaa tiba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu mandugu!!!... Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika la kuanzisha uzi huu .Siku 7 zilizopita mdogo wangu alitumiwa hela na mama yetu mdogo ambaye yupo dar...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Afya Dr Ndugulile amewaatahadharisha wananchi na wataalamu wa Afya wanaofanya biashara kwa kuwapa majibu yasiyosahihi wananchi ili kufanya biashara kwa kusema wanaumwa UTI yaani...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
nimekuta hii message kuwa eti nimeshinda euro laki nane jee ni kweli au ni utapeli? nimeiona muda huu nikaipotezea tu kuna ukweli???
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Ndugu zangu, niwapongeze tu kwa majukum ya kila siku Lakini pia niwapongeze kwa uvumilivu wa kuishi Tanzania. Naomba niende kwenye maada husika, hapa JF kumekuwa na Nyuzi nyingi sana za...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Huwezi kumzania ila ni bonge la msanii huyu sister anaimba kiukweli, Ninachompendea ni kwamba ngoma zake zote ziko simple tu kuanzia audio mpaka video lakini ni noma ukizisikia Mbele ni mbele tu...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nimekuwa nikipita pita sana huko uswahilini,kuna tabia imeibuka utawakuta wamama wapo kando ya mabomba yalopasuka wakiteka maji katika vidimbwi Kisa tu hawawezi kununua ndoo moja ya maji ndogo...
2 Reactions
3 Replies
955 Views
Back
Top Bottom