Yaliyojri Wakati wa Mkutano wa Waziri Jenista Mhagama na Waandishi wa Habari Kuhusu Kutangaza Tarehe ya Kuanza Kutumika kwa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na. 2 ya Mwaka...
Tanzania imeingia lawamani kwa hatua yake ya kubadili utaratibu wa utoaji wa viza kwa baadhi ya nchi ikiwemo Nigeria.
Hivi karibuni, serikali ya Tanzania kupitia idara yake ya Uhamiaji ilitoa...
1. Shiraz Gathoo. Huyu ni bilionea kutoka Afrika ya kusini aliepata kutekwa mnamo mwezi wa 3 mwaka huu.Waliomteka walitengeneza kizuizi feki cha polisi na kisa kumpeleka kusikojulikana. Aliachiwa...
Yaani wahusika wake huwa mara moja moja najitahidi niwatazame na kuwaelewa ila natoka kapa...hasa huyo jamaa alievaa kama yupo FNL ya EATV...Mawingu hapa hamna kitu kifanyieni reformation hiki...
NGARITO TUKIFANYA SAME IMEFANYA
[emoji842]Ni vijana 52 walioamua kukaa kambini kwa siku 5 mfululizo ili kuhakikisha wanakamilisha ufunguzi wa barabara itakayounganisha kitongoji cha Gavao...
Ni usiku na giza limetanda. Nakatiza mitaa ya Buguruni Madenge na Malapa jijini Dar es Salaam, nashuhudia wanawake wamejilaza kwenye vibaraza, mbele ya nyumba zao wakitumia mwanga wa vibatari...
Ni ajabu na kweli ajali zinapokuwa ajali zikihusisha magari ya serikali. Wakosaji na wasiokuwa qualified ni wale ambao hawako serikalini. Mnajitenga na wananchi waliowaweka madarakani na hii ina...
Habari wanajukwaa!
Hivi karibun kumekua na milio ya risasi jijini Arusha mida ya saa tatu usiku.
Hii ni takribani Mara ya tatu kwa milio hii ya silaha za kivita kusikika.
Kutokana na milio hiyo...
Kuna paragraph kadha wa kadha na sauti za watu mbalimbali kusikika kuwa ati kuna madoctor ukienda kisirisiri wanatibu ukimwi tofauti yao ni kiwango cha pesa ila inategemea wewe umemkuta yupi...
Tanzania announces 'surveillance squad' to hunt down homosexuals
Mr Makonda, a devout Christian who has long railed against gay Tanzanians, is one of the country’s most powerful figures and is...
Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu Bwege, (CUF), amesema alifuatwa ili akubali kununuliwa kwa kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akakataa.
Bwege amesema hayo leo Alhamisi...
Wakuu,
Nimeleta hili swali baada ya kufuatilia baadhi ya tiba au vitu vinavyotumika kwenye utabibu/ uchawi au uaguzi kuwa vina fuatana sana na tabia na upatikanaji wake.
Kwa mfano, mwanzoni mwa...
Mimi sio mkazi wa eneo la Chuo kikuu cha Dar es salaam , lakini naishi pembeni mwa eneo hilo na muda mwingi sana nakuwa ndani ya eneo la UDSM kwa ajili ya shuguli zangu nyingi zinazonilazimu mimi...
Habari ndugu, nasikitika kutokana na mambo yanayoendelea kutokea katika utoaji Wa huduma mbalimbali nchini Siku za hivi karibuni ili kupata huduma mbalimbali imekuwa inahitajika use na...
Mshana Jr Hapa mtaani kwa ndugu zangu wadigo leo ni siku ya tatu wanacheza ngoma za mashetani. Watu wamejaa, wengi. Magari huwezi amini wingi wake. Mbuzi, kondoo, kuku vinachinjwa , damu mbichi...
Nimetafuta kupitia google kuhusu gazeti hili la The economist na nikaona pamoja na mengi linaloandika lakini kuna mabaya kuhusu uandishi wao na maadili yetu kama watanzania.soma hizi comments ili...
Natumai hamjambo wadau,
Mwaka juzi nilipokuwa nikifanya kazi ofisi moja jijini Dar es salaam, nilikutwa na mkasa huu;
siku moja nikiwa pamoja na ex bosi wangu kwa sasa ambaye alinielekeza...
Siku tatu za Yesu kaburini zinahesabika hivi :-
1. Ijumaa saa tisa hadi jua lilipozama.... siku moja kaburini
2. Ijumaa jioni hadi Jumamosi (Sabato) jua lilipozama.... Siku ya pili kaburini...
NJOMBE
Jeshi la polisi mkoa wa Njombe limeapa kupambana na madereva wazembe ambao wamekuwa wakisababisha ajali za makusudi huku jeshi la polisi kupitia kitengo cha usalama barabarani hapa nchini...
Huwa najiuliza sana.
Mshahara wa mwanasiasa ni mkubwa sana kuliko ule wa taaluma ya mtu .
Mathalani, Mbunge kupokea 7 mil kwa mwezi ( nje na vikao vya TZS 350,000 per day ) ni kitu cha kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.