Huyu jamaa wa tafakuri baada ya habari mbona hateuliwi? Sio kwa kumsifia mkubwa hivi, emekuwa kama anafanya kumkejeli mkuu.

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Mumpigie debe mzee wa tafakuri baada ya habari ndani ya runinga yetu pendwa angalau awe katibu tawala wa mkoa wa singida tu.

Huyu jamaa nimekuwa nikimsikia mara kwa mara kwenye runinga hata watu mitaani huwa wanamzungumzia kuwa jamaa kazidisha kumsifia mkuu sanaa, na imeonekana kama anafanya mzaha au kumkejeli au kumukomorya ( kumug'oka) mzee kisogoni.

Yaani utasikia anavyotamka jina la mkubwa kwa kukandamiza hivi, mara kilikwenda kikarudi mara walaaaa walaaaa walaaa na braaaa braaa nyingi.

Si aongee tu kawaida bila hata kumtaja mkuu, kwani kusema uongozi wa awamu ya tano atapungukiwa nini?

Mumpelekeee hii taarifa kuwa apunguze kumtaja taja na kumsifia mkuu kama vile kejeli. Yawezekana mkuu nae huwa hapendi kusifiwa sifiwa hovyo. Ni mtu ambaye hapendi aonekane yuko juu hicho ndicho nampendea mkuu wetu.

Asanteni
 
Jamaa anaweza akaanza kwa kuongelea kuku na bata ila mwisho anaingia kulekule.
Jamaa muda mwingine anatoa vipindi vizuri vinavyoelimisha sana.
 
kwani huyo mkuru huwa anapata muda wa kuangalia hicho kipindi wakati mafaili yanakuwa yakimsubiria kitandani
 
Mumpigie debe mzee wa tafakuri baada ya habari ndani ya runinga yetu pendwa angalau awe katibu tawala wa mkoa wa singida tu.

Huyu jamaa nimekuwa nikimsikia mara kwa mara kwenye runinga hata watu mitaani huwa wanamzungumzia kuwa jamaa kazidisha kumsifia mkuu sanaa, na imeonekana kama anafanya mzaha au kumkejeli au kumukomorya ( kumug'oka) mzee kisogoni.

Yaani utasikia anavyotamka jina la mkubwa kwa kukandamiza hivi, mara kilikwenda kikarudi mara walaaaa walaaaa walaaa na braaaa braaa nyingi.

Si aongee tu kawaida bila hata kumtaja mkuu, kwani kusema uongozi wa awamu ya tano atapungukiwa nini?

Mumpelekeee hii taarifa kuwa apunguze kumtaja taja na kumsifia mkuu kama vile kejeli. Yawezekana mkuu nae huwa hapendi kusifiwa sifiwa hovyo. Ni mtu ambaye hapendi aonekane yuko juu hicho ndicho nampendea mkuu wetu.

Asanteni
Aah wapi! Hapendi kuonekana yuko juu? Hapo ndio ulipokosea! Huyo jamaa aendelee hivyo hivyo, kama mzee Mwinyi vile, kwamba miaka 50 ya marais waliotangulia, hawakufanya lolote la maana kama yaliyofanywa ndani ya miaka 2 ya awamu ya 5. Hapo utaona nani analeta kejeli.
 
Back
Top Bottom