Safari ya Johannesburg to Durban

Safari ya Johannesburg to Durban

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
1,191
Reaction score
1,247
Ndugu zangu, niwapongeze tu kwa majukum ya kila siku
Lakini pia niwapongeze kwa uvumilivu wa kuishi Tanzania.

Naomba niende kwenye maada husika, hapa JF kumekuwa na Nyuzi nyingi sana za kuelimisha jamii yetu kiasi kwamba mtu km hana Mb anahisi dunia imegeukia Chato, au kigogo. (Mambo sio mazuri)

Moja Kati ya kitu ningependa kujua /kuelimishwa ni jinsi/Namna ya kutoka Johannesburg kuelekea Durban, hapa namanisha kwa njia /usafiri ambao ni wakawaida ambao sio wa starehe

Je? Kuna umbali gani kutokea hapo Jobeg,
Nina rafiki yangu ameniomba ushauri, yeye ana mke na watoto 2,ila kwenye kuchati chati amepata jimama la Xshosa huko Durban,hivyo anatamani na yeye avunje record ya kutoka nje ya nchi. Kumbuka ana watoto na akienda Durban anakwenda kuoa ili mwisho apige kazi huko huko, Je afanyeje?

Naomba ushauri wenu ili nimfikishie huko aliko Kibondo Kigoma.
 
Hadithi yako inasikitisha kidogo... Ila ndo hivyo, yote maisha!

Kuhusu umbali, kama unawezo wa kuingia JF, ama Una smartphone au computer yenye network, ingia Google map, check distance na takataka zote.

Kuhusu usafiri pia, the web is an answer to everything now. Kila la heri jomba!
 
Ndugu zangu, niwapongeze tu kwa majukum ya kila siku
Lakini pia niwapongeze kwa uvumilivu wa kuishi Tanzania.

Naomba niende kwenye maada husika, hapa JF kumekuwa na Nyuzi nyingi sana za kuelimisha jamii yetu kiasi kwamba mtu km hana Mb anahisi dunia imegeukia Chato, au kigogo. (Mambo sio mazuri)

Moja Kati ya kitu ningependa kujua /kuelimishwa ni jinsi/Namna ya kutoka Johannesburg kuelekea Durban, hapa namanisha kwa njia /usafiri ambao ni wakawaida ambao sio wa starehe

Je? Kuna umbali gani kutokea hapo Jobeg,
Nina rafiki yangu ameniomba ushauri, yeye ana mke na watoto 2,ila kwenye kuchati chati amepata jimama la Xshosa huko Durban,hivyo anatamani na yeye avunje record ya kutoka nje ya nchi. Kumbuka ana watoto na akienda Durban anakwenda kuoa ili mwisho apige kazi huko huko, Je afanyeje?

Naomba ushauri wenu ili nimfikishie huko aliko Kibondo Kigoma.
Sio vzur kumsingizia mtu jambo lako, na kinachokusumbua n umarioo. Utaolewa
 
Mkuu ukisema ni wewe ndio unaenda kuolewa na hilo jimama utapungukiwa nn jamani nani anayekujua humu watu tunatumia ids fake
 
Haaaaaa, Brother mi kwa umri wangu sio rahisi, Umri umenitupa mkono, nakimbikia 49
 
Hivi nyie masikini huwa mnadhani mkienda kuoa wanawake wa nchi zilizoendelea ndio kuyapata mafanikio kiurahisi? Pumbavu kabisa
 
Ndugu zangu, niwapongeze tu kwa majukum ya kila siku
Lakini pia niwapongeze kwa uvumilivu wa kuishi Tanzania.

Naomba niende kwenye maada husika, hapa JF kumekuwa na Nyuzi nyingi sana za kuelimisha jamii yetu kiasi kwamba mtu km hana Mb anahisi dunia imegeukia Chato, au kigogo. (Mambo sio mazuri)

Moja Kati ya kitu ningependa kujua /kuelimishwa ni jinsi/Namna ya kutoka Johannesburg kuelekea Durban, hapa namanisha kwa njia /usafiri ambao ni wakawaida ambao sio wa starehe

Je? Kuna umbali gani kutokea hapo Jobeg,
Nina rafiki yangu ameniomba ushauri, yeye ana mke na watoto 2,ila kwenye kuchati chati amepata jimama la Xshosa huko Durban,hivyo anatamani na yeye avunje record ya kutoka nje ya nchi. Kumbuka ana watoto na akienda Durban anakwenda kuoa ili mwisho apige kazi huko huko, Je afanyeje?

Naomba ushauri wenu ili nimfikishie huko aliko Kibondo Kigoma.
Sijaelewa hasa ni information gani hasa unahitaji.

Ila kama unahitaji information za Jo'burg to Natal Durban ni masaa manne kwa gari private nimedrive mara kadhaa kwenda ila kurudi ni masas matano kutokana na zile highway zao na changer.
Mabasi kuna Translux na Greyhound, kuna usafiri wa train na usafiri wa ndege tena sunday flight ni cheap sana. Kwa wenzetu ndege ni usafiri tu na wala siyo sifa.

Maisha siyo rahisi kama unavyodanganywa na hakuna jimama la kukulea zaidi unaenda kudumaza akili yako tu.
 
Hivi nyie masikini huwa mnadhani mkienda kuoa wanawake wa nchi zilizoendelea ndio kuyapata mafanikio kiurahisi? Pumbavu kabisa
Ziko nchi kuoa ni deal kwa ajili documents na raia wao wana income za kueleweka.
 
Back
Top Bottom