bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,641
Amani iwe juu yenu wakuu.
Naombeni kujuzwa kuhusu namna ambavyo ninaweza kuweka pesa zangu bank ambazo ni halali yangu yaani sio za magumashi ila nashindwa kujua nitawezaje kufungua akaunti kwa majina ambayo yataficha kufahamika kwangu.
Nimekuwa nikisikia watu wameficha hela nje ya nchi but sielewi wanafunguaje akaunti zao bila wao kujulikana???
Msinishangae kwann nimeuliza hivyo nimeuliza kutokana na nyakati tulizonazo za uonevu na udhulumaji yaani wakijisikia kupin hela yako basi wanapin tu hasa kama mmetofautiana mitazamo so imani yangu usipokuwa identifies atleast unakuwa salama kidogo.
Sincerely,
Bachelor Sugu.