Nimekutana na hii message kwamba nimeshinda euro laki 8 na 50 jee ni kweli?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
nimekuta hii message kuwa eti nimeshinda euro laki nane jee ni kweli au ni utapeli?
ab5e3fbe85f3d32e4d7610b4b1b70c66.jpg

nimeiona muda huu nikaipotezea tu
kuna ukweli???
 
Nenda Google usearch andika neno 419 Scam utajisomea mwenyewe kwa wakati wako.utapata notisi nyingi za kujisomea mwenyewe
Screenshot_2017-11-10-18-19-28.png

Niliwahi kutumiwa hiyo message na namba ya huyo tapeli hapo juu, je anakua anaijuaje namba yangu hadi anitumie message?
 
nimekuta hii message kuwa eti nimeshinda euro laki nane jee ni kweli au ni utapeli?
ab5e3fbe85f3d32e4d7610b4b1b70c66.jpg

nimeiona muda huu nikaipotezea tu
kuna ukweli???
Hiyo sms hata mimi wamenitumia wiki iliyopita nikaipuuzia, leo wamenitumia tena kwa namba ile ile, nikawapigia ila haikupokelewa, nikawapigia mara ya pili ikasema namba ya tigo unayopiga sio sahihi na wakati namba yenyewe ni halotel, namba yenyewe ni 0620676309.
Kama huu ni utapeli mitandao ya simu itakuwa wanafaham namna unavyofanywa na hao matapeli, maana wanachoitaji wao ni taarifa zako kama jina lako kamili, umri na namba yako
 
Ulicheza nini mpaka uambiwe umeshinda? Halafu anakuambia umeshinda UK lakini namba iliyokutumia MSG ni ya kibongo ambayo unaweza kui trace na kumjua ni nini
 
Hiyo sms hata mimi wamenitumia wiki iliyopita nikaipuuzia, leo wamenitumia tena kwa namba ile ile, nikawapigia ila haikupokelewa, nikawapigia mara ya pili ikasema namba ya tigo unayopiga sio sahihi na wakati namba yenyewe ni halotel, namba yenyewe ni 0620676309.
Kama huu ni utapeli mitandao ya simu itakuwa wanafaham namna unavyofanywa na hao matapeli, maana wanachoitaji wao ni taarifa zako kama jina lako kamili, umri na namba yako
na mm wamenitumia hii sms..ukiwapigia hawapokei
 
Tukikwambia Umeshinda Utafanyaje..??

Na Tukikwambia Haujashinda Utafanyaje....??

Kiviere Wa Usangi
 
Back
Top Bottom