Tetesi: Chanzo cha baadhi ya wanaume kuwa mashoga ni kuzindikwa dawa na wake zao ili washindwe kucheat baada ya mwanamke kufariki bila kuzindua dawa

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
May 30, 2017
2,869
3,188
IMG_0017.JPG

Wakati sekeseke la ushoga likiendelea kutingisha nchini Tanzania, nimepenyezewa taarifa kuwa, chanzo cha baadhi ya wanaume walioko ama waliowahi kuwa kwenye ndoa kuwa mashoga ni kuzindikwa dawa na wake zao ili wasitoke nje ya ndoa.

Mazindiko ya dawa yapo ya aina nyingi lakini maarufu ni tatu:
  • Mke na mume kung'ang'aniana kitandani wakati wa tendo la ndoa.
  • Mke kunywa dawa ambapo mwanaume akiwa katika kufanya ngono, mwanamke anaumwa sana ya hadi kutaka kufa.
  • Mwanaume akikutana na mwanamke, jogoo linakataa kusimama.
So, hizo ni baadhi ya njia zinazotumiwa na wanawake kuwadhibiti wenza wao.
Kama mke wako amekuzindika dawa ya jogoo kulala kila unapokutana na mwanamke mwingine, basi ujue uko hatarini ya kubakia hivyo milele, ikitokea kwa bahati mbaya mke wako akafariki ghafula kwa aidha ajali, au kitu chochote kinachopelekea kukosekana muda wa kukuzidua.

So, ikitokea ukagundua siku umelala na mwanamke nje ya ndoa na jogoo kulala, fanya hima muombe sana mke wako akuzindue kwani madhara yake ni makubwa sana, huwezi jua ya Mungu.

Madhara yanayotokea endapo mwenzawako amefariki ndiyo hilo la kubadilika na kuwa shoga.
Wataalam wa masuala haya labda watufafanulie zaidi ukweli wa hii kitu.
 
Sasa kama jogoo lisipowika ndo ugeuzwa bwabwa? Acha kabisa kupotosha umma. Hio ni tabia mbaya tu ya mtu, mwengine ana mke anadinda vizuri tu na anagonga madem kitaa ila nae anagongwa vile vile. Au mwengine wakati anagonga anataka atiwe kidole apekeche kwenye makalio yake ili afike kileleni, sasa mtu wa hivyo siku ingine ni kugongwa na mwanaume mwenzio.

Muhimu sie wa kiume tusipende kufikia sana mambo ya ngono ya jinsia moja, tusipende kuchezewa au kunyonywa matundu ya haja kubwa na mademu tuwapo sita kwa sita. Kijana wa kiume simama kama rijali, ruhusu kunyonywa mshedede tu na ww usiombe tigo ni dhambi, ukimla tigo mwanamke iko siku utatamani nawe uliwe uone utamu wake kumbe ndio unapotea.

Kuliwa tigo mwanaume au mwanamke ni chukizo kubwa kwa muumba, tubuni, Allah ni msamehevu na mwenye huruma kwa waja wake wanaotubia.
 
1.Wapo mahanisi kwa kuzaliwa

2.Malezi na makuzi mabaya Ndugu wa karibu kuchezea watoto wakiwa madogo.

3.Homoni nyingi za kike kwa Mtoto wa kiume.
 
Hii kweli ina uthibitisho kisayansi. Tuambie mahusiano ya Jogoo kuto kusimama na Mtu kuwa shoga
 
Ajabu kweli ameshindwa kuliona kabla.
Jams Delisious alilogwa na nyanya yake mleta thread sijui kapata wapi hiyo bangi asubuhi yote hii
Asilimia kubwa ya mashoga ni vijana wadogo tena ambao hawana wake, sasa sijui huu utafiti wako umeufanyia kwenye ofisi za Lumumba au wapi......
Ndio maana nimesema baadhi.
Inajulikana kabisa kuwa mashoga wengi ni vijana kwa kuwa ni rahisi kujulikana tofauti na watu wazima ambao wana familia zao.
Linganisha machangudoa dhidi ya wanawake wakubwa wanaojiuza. Ni nani wanafanya kwa siri? So, ni ukweli kuwa, hatuwajui coz wapo wanaume wachache sana waliozindikwa dawa na wake zao.
 
Back
Top Bottom