Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,612
- 17,647
Heshima yenu wakuu,
Nimekaa nikatafakari sana kuhusu kifo cha kinyama kabisa cha yule binti wa Makumira.
Wengi wetu habari tulizo zipata mitandaoni ni kuwa alibakwa na wahuni mpaka kupelekea mauti yake.
Hilo sina uhakika nalo sana kwa sababu sijui report ya postmortem ilisema nini ,huenda kweli alibakwa.
Je ikiwa kubakwa kule ilikuwa ni contiguous plan ya wahusika kuficha motives walizokuwa nazo?
Mpaka sasa hivi hakuna taarifa yoyote kutoka polisi juu ya nini kinaendelea kuhusu kuwatafuta hao wahalifu.
Kuna uwezekano ilikuwa organized crime?
Familia ya kizungu aliyokuwa anaishi nao ni kina nani hasa? Wanawakilisha maslahi gani ya Marekani kwa Tanzania?
Ama marehemu kuna vitendo alivyokuwa anajihusisha navyo akashindwa kutimiza wajibu wake hivyo wakamuua kutuma ujumbe fulani hivi kwa kumuua? Na ni kwa kina nani ujumbe huo ulikuwa unatumwa?
Ama kuna taarifa alizotakiwa atoe marehemu pengine juu ya hiyo familia ya kizungu hivyo wakamtesa ili atoe hizo taarifa ? Waliomtesa ni kina nani hasa?
Ni kweli alibakwa kwenye mashamba ya mpunga au alitupwa hapo tu ili kupoteza ushaihidi?
Kuna mengi ya kujiuliza ila hili la kubakwa pekee haliingii akilini na swali la kujiuliza ni nini hasa motives za wauaji?
R.I.P Juliana
chige