Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Isaya 4 1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu. FAIZAALLY...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Wilayani Geita mkoani humo linatuhumiwa kuhusika na mauaji ya kijana aliyekuwa mlizi wa kampuni ya Jerusalemu Security Ltd. ambaye ni mkazi wa mtaa wa Mwatulole kata ya...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?
2 Reactions
103 Replies
19K Views
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba mkoani Kagera, Desiderius Rwoma amekemea vitendo vya ushoga na kutaka wanaofanya dhambi hiyo wasitengwe na kubaguliwa badala yake wasaidiwe na kuonyeshwa ubaya...
7 Reactions
36 Replies
6K Views
Wanaobaki Mh.Raisi futa haya MAGARI ya V8, wao watembelee land cruiser mkonge(ambulance) inatosha ili kupunguza garama ktk nchi YETU , piga mnada MAGARI yote ya kifahari, wanatutia hasara wananchi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tar 11 Nov 1918 ndio ilikuwa mwisho wa kadhia hii iliyoondoka na mamia kwa maelfu ya roho za walimwengu wa dunia hii ikiwemo na wa Tanganyika wenzetu waliopigana upande wa mkoloni wao, muhimu ni...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
kuna demu nimewahi kusafiri nae kuanzia tabora kuja dar,wakati tunatinga manyoni kitaambo ashaniegemea anakoroma kwa usingizi mzito,kufika nae dar ikabidi nilale nae hadi kesho yake,ila baada ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Yaani kwa mwanafunzi wa darasa la pili huko mbele ni sawa na form four huku Buzwogwe.Itatuchukua muda sana.Ndio maana watoto wao wanapelekwa mbele,wakwetu vitabu vimechomwa mara nne na mpaka sasa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Source BBC Swahili ====> Rais Magufuli asema hatochoka kubadili mawaziri
0 Reactions
1 Replies
796 Views
Wakuu nawasalimu katika lugha yetu ya hapa jf , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja . Kwa sasa imekuwa ni desturi ya baadhi ya watu kugombea maiti ya marehemu yeyote , awe tajiri au...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Papa mafido ametanga rasmi anampenda wema sepede katika mahojiano ya kidaku ya tv za you tube.Amesema akipata mkwanja atampuliza sepedu katika naniliu yake.Je muhuni, kichaa, msela wa Arusha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wote ni Edward na wote wanatokea Arusha, wote waliwahi kuwa mawaziri wakuu ingawa mmoja ameshatangulia mbele za haki. Enzi za uwongozi wa Sokoine sikuwa na maarifa ya kupapamabua mambo kwa sana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo nimekutana na gari ya RC shinyanga..ukweli dereva anaendesha ovyo bila kufuata sheria za barabarani..hawa ndo wanaosababisha ajari na vifo
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Matokeo yakiwa mabaya LAWAMA zote kwa KOCHA pia yakiwa mazuri pongezi nyingi sana zinakwenda kwa KOCHA (kuna kamsemo Fulani kakijinga sana ktk Mpira WA miguu eti Kocha ameajiriwa ili afukuzwe). Mh...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amegusia suala la korosho kwenye mkutano wa 13 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati kwenye mkutano wa Jumatatu novemba 12 akiuliza swali kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF Naimani tumeianza jumatatu vyema mbali na shida chachechache zinazotuandama na kutuzunguka, Kuna jambo nimeliwazia sana katika nchi yetu kuhusiana na maadili, Naweza sema...
0 Reactions
3 Replies
859 Views
Katika kile kilichoitwa kuwa ni kufanya kazi kwa ushirikiano wa kutaka kuleta tija kwa kiongozi aliyoko katika awamu ya tano Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Kiteto, Tamim Kambona amewataka...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Mbunge wa Jimbo Kiteto, Emmanuel Papiani, amekitaka kikosi cha kupambana na rushwa PCCB kuingilia kati kubaini wizi wa fedha za wananchi kiasi cha mil 7 zilipo. Mhe Papiani aliyesema hayo wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama nlivyoeleza mwaka jana mwenyewe kwa macho nimewaona wakulima mtwara wanafanya kufuru kwa kuwanunulia mbuzi soda na kuwawekea kwenye chombo na kuwapa wanywe, sasa kufuru kama hizi nahsi...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…