Kwanini watu wanagombea kuzika Maiti ?

Kwanini watu wanagombea kuzika Maiti ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,370
Reaction score
289,482
Wakuu nawasalimu katika lugha yetu ya hapa jf , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Kwa sasa imekuwa ni desturi ya baadhi ya watu kugombea maiti ya marehemu yeyote , awe tajiri au masikini , kwa kadiri ya ufahamu wangu mali za marehemu hawawezi kupewa watu walioshiriki mazishi kwa namna yoyote ile , sasa ni kipi kinachowafanya watu hawa wagombee kuzika maiti ?
 
Wanagombea wanafamilia na sio wazikaji, I guess! Katika mila kumzika mtu kuna implication za possession.. hivyo kuna vitu utavipata kwa kuwa wewe ndiye unayehusika na marehemu na "albda utakuwa na mamlaka na mali zake" nasema labda. BUT under the law of the nation, hiyo haiwezi kukusaidia kupata mali za marehemu kama huna sifa za kuwa mrithi wake.
Niko tayari kukosolewa....
 
Kuna maswala ya imani, mila & ndoa hua chanzo kikubwa.
Ki imani ni pale mahusiano yanapochanganya imani mbili tofauti. Hivyo hivyo mila pia. Lakini kubwa ni pale marehemu anapokuwa ndani ya jamii hizo tofauti (imani au mila tofauti).

Lakini ikija sababu hua hazina msingi
 
Hii inatokea pale pande mbili zinapokuwa hazielewani mfano upande wa wazazi wa marehemu na upande wa mme wa marehemu.
Kama mnaelewana tokea nyuma ni suala la kuafikiana tu kiroho safi.
 
Wanagombea wanafamilia na sio wazikaji, I guess! Katika mila kumzika mtu kuna implication za possession.. hivyo kuna vitu utavipata kwa kuwa wewe ndiye unayehusika na marehemu na "albda utakuwa na mamlaka na mali zake" nasema labda. BUT under the law of the nation, hiyo haiwezi kukusaidia kupata mali za marehemu kama huna sifa za kuwa mrithi wake.
Niko tayari kukosolewa....
Asante mkuu , na hasa niliwalenga ndugu wa Marehemu , Kwa maana ya mume , wajomba , baba , mama nk
 
Hii inatokea pale pande mbili zinapokuwa hazielewani mfano upande wa wazazi wa marehemu na upande wa mme wa marehemu.
Kama mnaelewana tokea nyuma ni suala la kuafikiana tu kiroho safi.
lakini kwanini wanagombea hasa , wanataka kupata baraka , au wanataka mali ama ni masuala ya kishirikina ?
 
Sijapyata majimbu ya ndoto yagu hila wandau wanaenderea kuchayangia mahada?
 
Zunguka koooote ila jua kwamba maiti ana thamani kuliko aiye na uhai.
Yupo hospital unatoa 20 ya matbabu...akifa unätoa 100+
 
Asante mkuu , na hasa niliwalenga ndugu wa Marehemu , Kwa maana ya mume , wajomba , baba , mama nk
Yes wanakuwa na dhana ya kuwa ukimzika marehemu basi unakuwa automatically na mamlaka ya "kuwa" na umuliki au kuzisemae /mwangalizi wa mali yake. Kimila iko hivyo, lakini sheria ya serikali ambayo iko juuu ya sheria ya kimla when there is a conflict between the two, haikusaidii hata ukigombea maiti. Mke/mume ana mamlaka ya mwisho juu ya mwili wa mke/mume wake!
 
Nafikiria wakishagombana halafu mwisho wa siku wakakuta Marehemu kishaandaa wosia na ndani yake waliogombana hawamo sijui itakuwaje ?
 
Siku ukipata muda mtafute mortuary attendant kaa nae kirafiki nje ya kazi yake mpige ofa utajua mengi sana usiyoyajua na hutaweza kuamini.
 
Back
Top Bottom