BEI YA KOROSHO IMEKUA HAIELEWEKI KUTOKA NA NYINYI WENYEWE WAKULIMA.

bigest

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
340
166
kama nlivyoeleza mwaka jana mwenyewe kwa macho nimewaona wakulima mtwara wanafanya kufuru kwa kuwanunulia mbuzi soda na kuwawekea kwenye chombo na kuwapa wanywe, sasa kufuru kama hizi nahsi zinaweza kufanya mbaka bei ikawa na mkanganyiko.

Wakulima Sasa bei ndio hiyo msifanye tena kama mwaka jana. Kuchezea pesa kwa kuwanywesha soda mbuzi.
 
Back
Top Bottom