Wizara zote pamoja na Halimashauri tumuache Rais,Makamu wake pamoja na Waziri mkuu tu

tanzanitemusiba

Senior Member
Nov 2, 2018
137
90
Wanaobaki Mh.Raisi futa haya MAGARI ya V8, wao watembelee land cruiser mkonge(ambulance) inatosha ili kupunguza garama ktk nchi YETU , piga mnada MAGARI yote ya kifahari, wanatutia hasara wananchi bila sababu mkifuta na hili jambo jema.

JF kiukweli hamstahili kuwepo Tanzania
 
Aiseeeeee.....
Jf inazidi kupoteza weledi kwa kasi ya kutisha, kama sio kusikitisha
 
Waacheni wenzenu watanue we kinakuuma kinini mwenzio kutembelea vx or v8 ni wivu wa kichawi huo... Jpm mwenyewe yupo hapo alipo kwa mkataba tuu sio muda anasepa watu wanaendelea kutanua maisha kama kawa


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom