Sasa naanza kupata mwanga jana usiku niliachia uzi humu nikisema tokea Dewji aachiwe na mateka ameachia post 6 kwenye mtandao wake wa fb na 5 kati ya hizo ni kuhusiana na mambo ya dini...
Kwenye korosho kulikuwa na wapiga hela zile za service levy ndio hao wana makampuni ya kununua korosho wakawa wanazitumia hizo hizo kununulia korosho kwa wakulima. Kwanini haya makampuni...
Kuna jamaa kanisingizia eti nimemuibia na kudai kuwa usiku aliniona kwa mbali nkikimbia na mali yake.
Pia mtu huyu katoa maelezo yanayotafautiana zaidi ya mara 3.
Akidai alishuhudia mali yake...
Shikamooni wakubwa zangu wote. Mimi mdogo wenu nipo mzima wa afya kabisa.
Kama vyuo vikuu vinaweza kutengua Academic Awards Kama PhD, kwanini Serikali kupitia Wizara ya sanaa na kamati ya Miss...
Habari wakuu
Ombi liende kwa mahakama waweze kuamuru vipimo vya madawa ya kulevya hasa cocaine kwa msanii Amber Rutty inaonekana kwa macho na tathimini ya kawaida kuwa anatumia cocaine...
Umeweka wimbo
Kinywani mwangu
Bwana niiiimbe
Sifa zaaako
Umeniumba
Ilinikuabudu
Nakwabudu
Nakwabudu
Wewe uketie juu
Ya vyote
Sifa hizi
Zifike kitini mwako
Wimbo huu ukawe
manukato
Wewe uketie juu...
Mfuko wa bima ya afya wa Taifa,siku za hivi karbuni ulijinasibu kuwa uko tayar kuwakatia bima ya afya wanachi ambao walikuwa wameungana kupitia vyama vya ushirika.
Pamoja na kujinassbu huko,habar...
Toka tukio la kusikitisha la kupotea/kutekwa kwa kipenzi cha wana-simba na raia wa kawaida wa Bongo kutokea, wengi wakiwemo hasa kina Zitto, @tundulissu, viongozi wengineo, mashabiki na wanachama...
Kabla ya yote nisisitize watanzania tuko kwenye RIGHT HEAVY TRUCK safari yetu kuitafuta misitu ya Kongo kwa watu wasiojulikana
Baada ya korosho kununuliwa na kuanza kusombwa na karandinga za...
Tuna jeshi letu imara lenye intelijensia makini, limeweza kudumisha amani(kama sio utulivu) katika nchi yetu kwa muda mrefu hadi sasa.
Lakini intelijensia hii linapofika suala la wale...
mnadai kwamba tutakosa misaada tukiupinga ushoga.sio kweli,hata wazungu wote sio mashoga Ni baadhi tu ya watu kwa hiyo hata wenyewe wanafurahi Sana kuona tunaukataa.trump mwenyewe hapendi...
Habar wa Jami forum,samahani Nina maswali mawili yanayonitatiza kwenye kichwa changu,,,mke Wang alijifunga tarehe 22 mwezi wa 8 lkn mpaka sasa ameniambia hajaona siku zake za hedhi,,je mwanamke...
Jambo LA kushangaza sana hawa NSSF hawajali wateja wao, Mfano kipindi najiunga NSSF nilikuwa Mkoa wa Mbeya nimeacha kazi nikarudi nyumbani kwetu Mwanza, nimeenda kufuatilia mafao yangu naambiwa...
Hawa jamaa ni wakali wa kuunga mkono kila sakata na hawaonyeshi sura za aibu na huvaa uhusika wa moja kwa moja bila aibu wala soni na natumaini ni katika zile ahadi zao za nchi haitotawalika...
Habari yako mkuu,naimani wikend imekwenda vena na wengine najua sahivi ndo kwaaanza uko viwanja unakula ulabuz na wengine mko mnajiandaa kufanya mambo ya wakubwa haha yote heri.
Sasa wikend yangu...
Mheshimiwa Spika na Bunge lako Tukufu kwanza niwapongeze kwa kazi kubwa mnayoendelea kulifanyia Taifa letu. Mheshimiwa Spika kwa heshima kubwa tunaomba Muishauri Serikari iwarudishe Kazini...
ASKARI wa wanyama pori wa Hifadhi ya Taifa (Tanapa), Charles Ndakama na mwenzake, John Magwe wamefariki dunia baada ya kufukuzana na majangili wanaotumia mbinu ya kulisha mifuko kwenye Hifadhi ya...
Taarifa ya BBC pia imeeleza kama nilivyoweka link hapo.
Ni ukweli usiopingika huwezi kuifananisha Dar na miji mingine mikubwa ya East Africa kama Nairobi kwa mpangilio wake hasa kwenye bustani za...
Nimesafiri jana na basi tokea Moro kuelekea ngara kupitia Kahama.
Basi nililo safiri nalo lilitozwa faini 3 yaani 90,000/= zisizokuwa na kichwa wala miguu. Kwa mujibu wa hudumu wale huu ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.