Mkurugenzi aomba ushirikiano kwa watumishi

Mkurugenzi aomba ushirikiano kwa watumishi

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Katika kile kilichoitwa kuwa ni kufanya kazi kwa ushirikiano wa kutaka kuleta tija kwa kiongozi aliyoko katika awamu ya tano

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Kiteto, Tamim Kambona amewataka watumishi wa Serikali kuungana pamoja ili kuwatumikia wananchi.

Kambona aliyasema hayo kwenye kikao cha baraza la madiwani Kiteto kutaka kuondoa uhaba wa vyumba vya madarasa, madawati kwa wanafunzi watakaojiunga na kidato cha kwanza mwaka huu.

"Naomba watendaji wa vijiji na kata, maafisa Elimu kata, wakuu wa Idara na madiwani tuungane pamoja kuondoa tatizo la uhaba wa Samani na Thamani"

Mwaka 2018/2019 idadi ya wanafunzi waliofaulu mitihani ya darasa la saba imeongezeka, hivyo jitihada za maksudi za kuboresha miundombinu zinatakiwa.
 
Back
Top Bottom