Huyu tax driver wa kwenye movie ya VanMo kanitia hasia. UONGO LIVE.

Unajua raha ya movie usigundue uongo, sasa nimecheck video clip ya "tax driver" wa kwenye movie ya MO. Aise aise nimejikuta nakereka sana yani nikama vile watanzamaji wa movie hii tumefanywa mazuzu mixa matahira au hata zaidi, eti jitu linaelezea ishu nyeti na ya hatari huku linataka kuchela, facial expression haiendani na uongo aliomezeshwa sijui hakusoma script vizuri, afu eti adui anakamatwa hata pingu hafungwi serious ?! Director akajipange daaaah. Unajua hii movie ndo ilitakiwa iitwe Taminetor maana inatu tarminate akili zetu bure.

Yani nilianza kukerwa pale movie inaanza eti pap pap VanMo katekwa jirani na whitehouse, afu kapatikana karibu na Pentagon security area, afu CCT camera eti zikapiga picha za gari hapo Pentagon picha horizontal kama selfie badala ya aerial scope, afu bad guys eti wakambembeleza VanMo na kumpa simu awapigie ndugu zake, ila ukitazama movie kabla VanMo kupatikana eti watafutaji walisema siku moja kabla kua angepatikana, and the list of blandas goes on and on.

kwa kifupi red flags na blanda nyingi za wazi zinaonekana kwenye movie hii ambayo director wake anarekodi ya kulia lia pale movie zinapokosa mauzo mazuri. Yani ambao hawajaiona hii movie bora wasipoteze muda wao kuiangalia maana watakereka tu bure, movie nyingine bwana zimekaa kikolomije land.
Mbona polisi hawataki Mo aandike maelezo ya kutekwa, mpaka kurudi gmkana kucheza golf
 
Back
Top Bottom