Je, hii ni haki?

Samireal

Member
Aug 16, 2015
88
22
Halafu unakamatwa eti gari ni bovu! Faini juu na hata kuzuiwa kufanya kazi! Je hii ni haki? Hizo picha moja inaonesha gari limekwama na ukiacha na hilo shimo gari lilipokwama kuna mashimo mengine mengi tu ambayo ni makubwa na mengine madogodogo na hiyo picha ya pili inaonesha uterezi barabarani hadi gari limegeuka.
1542008709876.jpg
FB_IMG_1542009397008.jpg
 
Yes, ukikamatwa na gari bovu solution ni kula faini, huwezi kuleta habari za barabara ni mbaya maana hiyo route uliomba mwenyewe ukijua kabisa barabara ni mbaya.
Au unataka kujifanya haujui madhara ya kuendesha gari bovu?
 
Back
Top Bottom