Nini maoni yako kuhusu hili, mdada kaamua kujioa

Nini maoni yako kuhusu hili, mdada kaamua kujioa

sayoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
5,281
Reaction score
7,956
Nini maoni yako kuhusu hili? Mdada kaamua kujioa
Screenshot_20181009-235442.jpg
 
Angeenda Uganda kuwafanyia hao ndugu zake hayo angeona cha mtema kuni, na mwanamme wa kumuoa angekuwepo, sasa anayafanyia hayo Uingereza? Naye ajifanya ana vituko kama vya wazungu!
 
Huu ni mwisho wa dunia kwakweli.nijuavyo ndoa ni maliziano ya watu wawili wa jinsi mbili.me,ke.Sasa anajiowaje kwa mfano?labda happy birthdays yeke ila kaamua kuisherehekea kiihivyo.
 
BBC walieleza tofauti kidogo nikawaelewa walisema huyu alifanya hivi kama njia ya kupata ada ya chuo ila hii ya kusimangwa ndio nahisikia huku !!
 
Back
Top Bottom