Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,488
- 100,883
Nawasalimu kutoka Mtowisa-Ziwa Rukwa Sumbawanga.
Sikua online kutokana na sababu za kibinadamu na kimtandao! Nimefurahi Sana kusikia kuwa tutagawiwa kila Mtanzania kilo mbili za Korosho. Si jambo dogo.
Maandiko yanasema "Shukuruni kwa kila jambo" Naam nashukuru Kwa Korosho pia japo ningepatiwa Noah ningefurahi zaidi. Tukimaliza kula korosho tutakua tunakata mitaa Kama "Noah".
Asante Sana wanangu!
Koro-Show oyeeeeee!!
Elli
Mtowisa